ugomvi wa mume na mke

ugomvi wa mume na mke

Achahasira

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,213
Reaction score
215
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo anajibu: Nakwenda kwa mama yangu.

Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake, mke kwa jeuri akamuuliza mume wake: Unapaki unakwenda wapi? Mume akajibu kwa tabasamu: na mimi nakwenda kwa mama yangu. Mke akauliza tena "Hawa watoto wako watabaki na nani:/

Mume kwa kujiamini akajibu Nao waende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu
 
hahahahahahahaha watoto nao kwa uhakika wa maisha watakuja achwa beach siku yake!
 
Na sisi watoto tunamfuata mama yetu
 
Kweli umefanya ile style ya akimwaga mboga unamwaga ugali na Huyo baba mtata kwel
 
Back
Top Bottom