Ugomvi wa lowassa,rostam na lukuvi vs lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugomvi wa lowassa,rostam na lukuvi vs lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maarufu, Nov 29, 2010.

 1. m

  maarufu Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimesikia kukosa kwa prof msolla kuwa waziri wkt alistahili kumetokana na mabwana wakubwa wawili wa nchi hii yaani rostam , na el kisa:

  Lowassa: Kwanza alimshawishi msolla ajenge chuo kikuu kikubwa tanzania yaani udom kwake arusha eneo la monduli
  pili: Kushuka kwa gharama za mawasiliano ambazo zimeiathiri vodacom aliyeko swaiba wake na yeye

  rostam: Ishu ya kushuka gharama za mawasiliano vodacom (tsh 1 kwa sek)

  lukuvi: Hampendi kabisa lowassa kutokana na ujumbe wa nec iringa
  natoa hoja michango jamani ka nimekosea.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyo msolla mwenyewe ! Nani kakwambia anafaa na alistahili kuwa waziri?
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  tufafanulie vigezo vyako kuwa alistahili?
   
 4. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huu ni umbea! Jamvi linahitaji hoja zenye evidence otherwise ni majungu na chuki binafsi......
   
Loading...