ugojwa wa kusahau sug | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ugojwa wa kusahau sug

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by filonos, Jul 20, 2012.

 1. f

  filonos JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  jamaa anakua bussy napi ni msauluvu siku moja akajisau hata yeye mwenyewe kama mi mwanmke au ni mume ikabidi kwanza ageuke pembeni the ajichungulie ndipo akagundu yakua yeye ni MUME
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,749
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Hebu rudia ku-edit hiyo post yako kabla watukanaji hawajaingia hapa
   
 3. L

  Luluka JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli anatakiwa aedit post yake!inaeleweka ila imekosewa kosewa sana
   
 4. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 984
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  kasomea kiswahili medium jamani.
   
 5. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 434
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sio kukosewa yaani nimeisoma zaidi ya mara tatu sijaelewa kitu duh kweli JF siku hizi facebookers wamejaa:baby: utoto mtupu
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wengine hapa tuna ndevu mpaka za kwenye Ulimi sababu ya uzee, sasa hicho kiswahili cha utoto tunapata shiiiiiida...
   
 7. A

  ADK JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 950
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tatizo la vilaza hawa wanaanzisha topic halafu wanaingia mitini
   
 8. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,868
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  haraka ya nini!!!!sa ndo umetuandikia kitu gani!!!!
   
Loading...