Ugiriki itajiondoa Umoja wa Ulaya

Ugiriki itajiondoa Umoja wa Ulaya

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
Tumefatilia kwa karibu sakata la Ugiriki na ni dhairi itaondoka EU na hakuna jingine, jana kwenye meza ya majadiliano ikiongozwa na Waziri wa Fedha wa Ugiriki na upande wa pili wakiongozwa na International Monetary Fund, the European Union and the European Central Bank hakuna makubaliano yaliyofikiwa tulichoona ni Waziri wa Fedha wa Ugiriki akiitwa arudi Ugiriki na serikali yake.

Ugiriki isipopewa fedha inazotaka haiwezi kuendelea kubaki EU kwa sababu wanatumia currency ya EU, Je kama Ugiriki itaondoka Eu nini madhara ya Muungano huu wa Ulaya?
 
tumefatilia kwa karibu sakata la Ugiriki na ni dhairi itaondoka EU na hakuna jingine,jana kwenye meza ya majadiliano ikiongozwa na waziri wa fedha wa ugiriki na upande wa pili wakiongozwa na International Monetary Fund, the European Union and the European Central Bank hakuna makubaliano yaliyofikiwa tulichoona ni waziri wa fedha wa Ugiriki akiitwa arudi Ugiriki na serikali yake,
Ugiriki isipopewa fedha inazotaka haiwezi kuendelea kubaki EU kwa sababu wanatumia currency ya EU,Je kama Ugiriki itaondoka Eu nini madhara ya Muungano huu wa Ulaya?

Usiwaze madhara ya umoja wa ulaya kwanza.
Ugiriki itakuwa kwenye hali gani wasipopata hiyo fedha? Ni dhahiri uchumi utaanguka. Madhara yake hayapimiki.

Pia wanachama wa umoja wa ulaya hasa wale wenye chumi zinazosuasua wataanza kukaa kimachale baada ya kuona umoja wa ulaya hauna msaada kwao.
 
Madhara yapo kwa pande zote zote mbili yaani UGIRIKI na EU kwa maana endapo Ugiriki itajitoa kwenye umoja huo itafungua milango kwa DONORS wengine ambao watakua na mitazamo tofauti kwa Eu kisiasa na uchumi pia. Kwa mfano kijitoa kwa Ugiriki katika umoja wa ulaya kunaweza pelekea CHINA na mataifa mengine mengine kusupport Ugiriki katika mitazamo tofauti
 
Usiwaze madhara ya umoja wa ulaya kwanza.
Ugiriki itakuwa kwenye hali gani wasipopata hiyo fedha? Ni dhahiri uchumi utaanguka. Madhara yake hayapimiki.

Pia wanachama wa umoja wa ulaya hasa wale wenye chumi zinazosuasua wataanza kukaa kimachale baada ya kuona umoja wa ulaya hauna msaada kwao.

russia walishasema wako tayari kutoa pesa hizo......
 
Hawataki kuwa watumwa. The buck stops with the referendum. Kuna wajanja wengi kwenye huu ulimwengu, Waingereza walishashituka tangu zamani hawakujiingiza kwenye Euro maana yake ni wendawazimu si waliambiwa wakijiunga mambo yatakuwa mazuri? Imekula kwao .... .watch out EAC na mbinu za Manyang'au ambao wanatumiwa na makuwadi wao.
 
Binafsi sio mtaalamu Wa masuala ya uchumi ila Nina swali kwa wenye upeo Wa economics! Je ugiriki ikijitoa EU itaacha kutumia sarafu ya euro na Nn aftermath yake?
 
Binafsi sio mtaalamu Wa masuala ya uchumi ila Nina swali kwa wenye upeo Wa economics! Je ugiriki ikijitoa EU itaacha kutumia sarafu ya euro na Nn aftermath yake?
Watatumia sarafu yao wenyewe walio kuwa wanaitumia kabla, na si kwa Ugiriki tu hata Italy kuna mjadala wa kutaka ziwezpo sarafu mbili ya Italy na hiyo ya euro
 
Hawataki kuwa watumwa. The buck stops with the referendum. Kuna wajanja wengi kwenye huu ulimwengu, Waingereza walishashituka tangu zamani hawakujiingiza kwenye Euro maana yake ni wendawazimu si waliambiwa wakijiunga mambo yatakuwa mazuri? Imekula kwao .... .watch out EAC na mbinu za Manyang'au ambao wanatumiwa na makuwadi wao.

Ukiona kiongozi yeyote wa Tanzania anashabikia sana mambo ya 'MONETARY UNION' basi ni mawili: 1) HAZIMNAZO AU 2) KESHANUNULIWA!
HATA JK AMEISHATOA ONYO KWAMBA TUSIKURUPUKE!
 
Back
Top Bottom