Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Ndege zinatuwa Kiwanjani kwa shida ni Hatari sana..........
![]()
Ndege zinatuwa Kiwanjani kwa shida ni Hatari sana..........
![]()
Upo nchi gani wewe Mkuu Money Stunna Tembea tu unaogopa kuzama?Hapa nilipo mito na maziwa yameganda watu wanatembea juu japo mi siwez naogopa
Ushamba unao wewe uliyeko bongo bado hujafunguwa macho na kusafiri safiri ujionee mwenyewe Dunia jinsi ilivyo utakaa na joto lako mpaka likutowe roho yako imekula kwako Utajibeba wewe....Mwenyewe..........Ushamba bwana
hapo kuna watu wameishi karne na karne bila matatizo.nyie raia mmeingia juzi complain kibao,baridi limekubana rudi bongo kuna joto 37+ everyday.
Upo nchi gani wewe Mkuu Money Stunna Tembea tu unaogopa kuzama?
Upo jimbo gani huko Marekani kwenye baridi kali kama ya Ulaya?Nipo marekani kipind hiki baridi yani inaboa sana
Upo jimbo gani huko Marekani kwenye baridi kali kama ya Ulaya?
Nipo marekani kipind hiki baridi yani inaboa sana
Hapa nilipo mito na maziwa yameganda watu wanatembea juu japo mi siwez naogopa
Ujanja wako wote huo kumbe wewe ni kunguru muoga hahahahahah Money StunnaHapa nilipo mito na maziwa yameganda watu wanatembea juu japo mi siwez naogopa