Ugeni wa wef;idadi ya waumini yaongezeka misa za asbh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugeni wa wef;idadi ya waumini yaongezeka misa za asbh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Kweli karibu mgeni apone imeendelea hadi kwenye upande wa kirooho pale
  watanzania wanapolazimikakuamka mapema asbh na hivyo kufika mapema mjini
  kutokana na kukosa cha kufanya na milango kufungwa wamelazimika kwenda makanisani
  kumshukuru mungu ...ama kwa ajili ya ugen huu ama kwa mambo mengine binafsi
  Kwa kweli tangu ugeni uanze mkutano leo hii nimeona idadi ya ajabu kanisan na sikusita
  kutangaza madhabahani kwenye misa ya asbh kwa baraka za mungu kutuongezea waumini
  alisema mmoja wa wa maa askofu wa kanisa moja la kilutheri pale mjini...mwandishi akusita
  kuelekea kanisa la roman st joseph ambapo hapo ilikuwa kama misa ya jumapili watu walipoamua
  kumfwata Mungu rasmi....

  K wa kweli wagen atuna cha kuwapa ila neno letu moja tu MUNGU awabariki jamani mzidi kuja mara kwa mara
   
Loading...