Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,888
- 132,170
Hajakatazwa kwenda kujumuika na mtu yoyote. Sema uchokoraa ndo unaomsumbua naona na wewe ndo hao hao. Pole.
Asante kwa maoni yako. Nipo uk, mgeni hakuwa amelewa, alikuwa na bus ticket ya one month. Let me wait for other members contribution also.
Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.
4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.
Hapa ni yale yale NATAKA STAKI. Unawezaje kumwimwita mwenzako unaeishi naye CHOKORAA? Kwa nini usitumie neno lingine la kistaarabu zaidi? Inavyoelekea wewe ni mkorofi sana ndo maana jamaa anatafuta watu wa ku-hang around naye saa zisogee. Haya ndo matatizo ya famila nyingi. You need time to make impetus in your new family.
lakini kama nilivyokwishasema, UNATAKIWA uache mdomo na maneno ya dharau. Unaweza kujikuta unadandia pipa la kurudi bongo saa hii.
Mapenzi ya dhati yanaambatana na kuvumiliana. Ukijiona uko kwenye mahusiano na vitu vidogo vidogo vinakuwa kero, unaweza kuweka penzi kwenye mizani.
Kama mumeo haruhusiwi kuleta rafiki yake kwa siku moja tu, vipi wifi yako atakaa hapo mwezi?
Je ingekuwa ni mtoto mliyemzaa kaleta rafiki yake kulala nae hapo nyumbani pia ungemkataza?
4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.
Mh... wewe hufai kabisa.Hufai.....akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!
Mapenzi ya dhati yanaambatana na kuvumiliana. Ukijiona uko kwenye mahusiano na vitu vidogo vidogo vinakuwa kero, unaweza kuweka penzi kwenye mizani.
Kama mumeo haruhusiwi kuleta rafiki yake kwa siku moja tu, vipi wifi yako atakaa hapo mwezi?
Je ingekuwa ni mtoto mliyemzaa kaleta rafiki yake kulala nae hapo nyumbani pia ungemkataza?
4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.
Kwa upande mwingine namuunga mkono bibie. Mwanamke lazima uwe na wasiwasi kidogo sio kubweteka tu. Hata kama ni mawifi au nani analala au kuja bila utaratibu usiojulikana vizuri usiwape nafasi wakupande kichwa. Wewe hujasikia akina dada kibao bongo hii wanatembea na kaka zao huku wakimtamba kwa wifi yao??? Wengine wamejikuta wakigombana wao kwa wao kisa wanamgombania kaka yao ambaye tena keshaoa. Makubwa hayoooo!!! dunia ya sasa.
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.
nafikili 4x4x... Anataka kuthibitisha siginecha yake
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Ushauri wangu bwana wako hakufai njoo kwangu.Na wewe kama unatoa msaada toa sio kashfaa. Nije kwa kwa mpangilio gani sasa. Kama unaushauri wakunipa naomba uni PM wewe. Na hicho kipengele cha PM ndo nini hasa maana sikielewi ati.