Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,049
- 23,498
*****
Mwendesha mashtaka wa Umoja
wa Mataifa Mr. Serge Premmertz
alipokwenda kufanya
mazungumzo na makamo wa rais
Samia Suluhu Hassan jana April
13,2016 ofisini kwake Dar es
salaam.
Ikumbukwe kwamba Bwana Serge
aliongoza mashtaka katika
mahakama maalumu kuhusu
uhalifu wa kivita Yugoslavia ya
Zamani ya Slobodan Milosovic.
Pia aliteuliwa na Koffi Annan
kuongoza tume ya uchunguzi wa
mauaji ya waziri mkuu wa
Lebanon Rafic Hariri.
sitaki niengeze neno jengine zaidi
ya hayo, kwa sababu sijui hasa
sababu na lengo la safari ya huyu
bwana Ikulu nini, ila wadadisi/
wachunguzi wa mambo
watatwambia ikiwa katika serikali
iliyopita aliwahi kuja kama hivi au
la!
Ikiwa alikuja watasema alikuja
kufanya nini, na ikiwa ndio mara
ya kwanza watasema nini
kilichomleta.
Wadadisi/wachunguzi karubuni.