Ugatuaji mad arawa

Mwenzetu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
550
193
nimekutana na hili neno ugatuaji madaraka,ninaomba mwenye kujua maana au tafasiri yake anijulishe

Mwenzetu
 
nimekutana na hili neno ugatuaji madaraka,ninaomba mwenye kujua maana au tafasiri yake anijulishe Mwenzetu

.
Mkuu Mwenzetu ... hili neno huwa linawapa sana watu shida ... ila mara nyingi hutumiwa zaidi Kenya.

Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI

gatu
.a kt [ele] ~ madaraka decentralize

decentralize vt gatua madaraka; (of govt.) toa madaraka mikoani. decentralization n.

Kwa hiyo UGATUZI ni decentralization

Maneno mengine yanayoendana nalo ni kama

gatulia, (tdew) gatuliwa; (tdk) gatuka; (tds)gatusha.

Naona hata Kongosho alitoka kapa .... hiyo ndio maana yake
 
............Dotworld una akili..........sana,...............asante sana,kongosho ........holaaaa
 
............Dotworld una akili..........sana,...............asante sana,kongosho ........holaaaa
.
Mkuu Mwenzetu naona unanipa sifa nisizostahili!

Tafsiri hiyo nimekuletea "kwa hisani ya watu wa TUKI"!

Hao ndio wanastahili pongezi! kwa kutoa Kamusi hiyo

By the way nimeshawahi kuiposti hiyo Kamusi hapa JF ... unaweza kui-download

Tafsiri nyingi za maneno utayapa katika KAMUSI ukishindwa ndio uje hapa Jamvini

KAMUSI (Dictionary) ya TUKI
... download

Kiswahili kwenda Kingereza
na Kingereza kwenda Kiswahili.

Link yenyewe ni hii hapa (download):

http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip

Kongosho gfsonwin

N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom