Jamani Uganda wamezidi, anagalau TZ tunaserikali inayoheshimu sheria kidogo ukiachilia mbali wehu wachache kama vile mauaji ya Arusha, na hawa mafisadi wanaoyumbisha uchumi. Naamini nchi yetu it is a true democracy country ukilinganisha katika east africa. Bravo JK!!