Uganda's Opposition harmed by Museveni's hard tactics

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Nadhani hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa kwa wanaoshindwa chaguzi na ku resort kwenye kuhamasisha vurugu kama Slaa.

Uganda: Politician Kizza Besigye shot in arm at protest

_48333893_bn-304x171.gif

Ugandan opposition politician Kizza Besigye has been injured after the military opened fire to disperse protesters in the capital, Kampala.
For the second time this week, people were asked to walk to work to protest against rising fuel and food prices.
Police had tried to arrest Dr Besigye but a group of his supporters surrounded him.
Eyewitnesses say the army then stepped in and during the effort to arrest him he was shot in the arm.
The injured opposition leader was then driven away by the military.
Dr Besigye was defeated by President Yoweri Museveni in February's presidential election but says the poll was rigged.
Before the vote, he had called for Egypt-style uprisings in case of fraud.
The police responded by banning public demonstrations.
 
Colonel Kiiza Besigye ,Ugandan's main opposition leader has shot by riot police but his conditions is not fatal.
 
Dr Kizza Besigye has been shot

Published on April 14, 2011 by The Razor Newspaper · View Comments
Your Ad Here

Forum for Democratic Change president Kizza Besigye has been reportedly shot by the Military Police in the right arm. The Military took control from police in Besigye's home area, Kasangati. Kampala mayor-elect Erias Lukwago, Kitgum Woman MP Beatrice Anywar and Kyadondo South MP Issa Kikungwe have been arrested. Kikungwe and Anywar are currently being taken to Entebbe Magistrates Ccourt. One woman was reportedly shot dead by police as they attempted to quell a "walk-to-walk"demo in Kajansi, along Entebbe Road.
In Bwaise, Kasubi and Nakulabye bullets are flying over as civilians scamper for dear lives.
In Lugazi police takes over taxi park after drivers' demo.
More demos reported in Masaka. Banks and other big business have been shutdown.


FDC leaders Nandala Mafabi, Margareta Wokuri and Ann Mugisha have been arrested and taken to Jinja Road Police Station, according to Busongola South MP, Christopher Kibanzanga

Keep on this page to get the latest hot news in Uganda as it happens


SOurce:Dr Kizza Besigye has been shot | The Razor: Cutting Edge Uganda News, Business and Sports
 
Kufuatia maandamano yanayoendelea huko uganda,polisi nchin humo wamempiga risas mkonon kiongoz wa chama cha upinzani huko uganda
sosi bbc
 
Polis nchin uganda wamempiga risas ya mkonon Kiiza Besigye kwenye maandamano ya chama chake
sosi bbc
 
Kufuatia maandamano yanayoendelea huko uganda,polisi nchin humo wamempiga risas mkonon kiongoz wa chama cha upinzani huko uganda
sosi bbc

Hawa plisi wa kiafrica ipo kazi .
Baada ya kulinda usalama wa raia wanahatarisha.
Ulaya police ni mtu wa kumkimbilia akusaidie lakini Africa polisi anaogopwa kuombwa msaada kwa sababu badala ya kukusaidia anakuongezea tatizo na kuhatarisha amani yako.
Mungu saidia Africa na watu wake!
 
Ila jamaa ni mbishi,kila uchaguzi lazima azushiwe jambo,sas ameamuwa kupambana na asipo angalia mseven atammaliza
 
Bara la Africa bado lina ziongozi wenye akili kama za Augusto Pinochet yule mditectetor wa Chile........
 
ndio serikali za wanajeshi, huwa mwisho wao ni hegue!, subili utaona marekani watakavyomgeuka kama walivyomfanyia mobutu!, ataondoka kwa aibu huyo!
 
Jamani nchi za kiafrica huu mtutu wa bunduki mpaka lini?,nawewe Museven mwisho wako un awadia tunajuwa lengo lako ni kuwa Rais wa east Afrika,lakini halitawezekana hilo,utamfuata Bagbo mda si mrefu
 
Ni aibu kwa serikali za kiafrika, kwani huyo M7 anaogopa nini kama nafanya kazi zake vizuri, shame on them african leaders
 
Ndani ya Nchi yake kuna vichaa kama Godbless Lema(a.k.a kimeta wa merelani),Wenje,W.Slaa hawa wote ni watu wa mavurugu na wachochezi kupindukia lakini hawajafanywa Walemavu. Je!

Rais huyu anadhihirisha upole wake ama ni uoga. Uganda aliyekuwa rafiki na hatimaye kugeuka mpinzani mkubwa wa Rais Mseven Dr. Kiiza Besigye inaripotiwa kapigwa risasi mkononi kisa "maandamano".

Mbona huku Tanzania ni mengi na kesho kutwa yako barabarani tena na matusi lukuki kwa Rais "kweli Nchi na Uongozi zinatofautiana".

Kama hivyo UDUMU KIKWETE ili sisi CDM tuendelee kupeta.
 
Back
Top Bottom