Nadhani hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa kwa wanaoshindwa chaguzi na ku resort kwenye kuhamasisha vurugu kama Slaa.
Madictetor mawili yaliyobaki Africa baada ya Gadafi ni Mseveni na Mugabe.
Na anachokifanya mseveni ni maandalizi ya kuondoka kubaya kunakomwita. Yetu macho!!
.
WanaJF,
Incredible? Yes we may be shot, but the cause will prevail. Wote wenye mawazo ya aina hiyo wajue hatuogopi Bunduki, Kumbuka baadhi ya Watanzania waliisha kubeba mabango kuwa ni afadhali kufa kwa "ukimwi kuliko....."wamechoka. Tunaitwa wachochezi, sasa kwa mawazo hayo nani mchochezi.....Wenye busara na akili watajua..Muhimu, lakini mhusika ajue, binadamu alizaliwa mara mmoja na atakufa mara mmoja, provided it is for a good cause (objectively assessed).
Kufuatia maandamano yanayoendelea huko uganda,polisi nchin humo wamempiga risas mkonon kiongoz wa chama cha upinzani huko uganda
sosi bbc