Ndani ya Nchi yake kuna vichaa kama Godbless Lema(a.k.a kimeta wa merelani),Wenje,W.Slaa hawa wote ni watu wa mavurugu na wachochezi kupindukia lakini hawajafanywa Walemavu. Je!Rais huyu anadhihirisha upole wake ama ni uoga.Uganda aliyekuwa rafiki na hatimaye kugeuka mpinzani mkubwa wa Rais Mseven Dr. Kiiza Besigye inaripotiwa kapigwa risasi mkononi kisa "maandamano".Mbona huku Tanzania ni mengi na kesho kutwa yako barabarani tena na matusi lukuki kwa Rais "kweli Nchi na Uongozi zinatofautiana".Kama hivyo UDUMU KIKWETE ili sisi CDM tuendelee kupeta.