sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 157
Leo ni mara ya pili waganda wanafanya maandamano ya amani kupinga Uhaba wa mafuta nchini mwao na Kupanda kwa bei ya mafuta, pia wanagomea kupanda kwa Garama za maisha,
Kwa siku ya leo waganda wameamua kutembea kwa miguu wakati wa kwenda Makazini na wakati wa kurudi ikiwa ni ishara ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta na Nauli za daladala aka TAX kama wanavoziita wao,
Maandamano hayo yameitishwa na Col. Kiza Besigye (FDC), na baadhi ya viongozi wengine.
Mpaka muda huu ninao report, kumekuwa na milio ya Mabomu ya machozi pamoja na Risasi za moto zikisikika katika eneo maarufu la Wandegeya Mjini Kampala.
Nikiriport Kutoka Wandegeya, Mimi ni
Sekulu
JF