Hebu imagine hiyo budget yake aliyotenga Kwa ajili ya vita hapo Ukraine , ikiwekwa hapa Africa inaweza transform nchi nyingi sana zikawa ulaya ndogo , halafu nchi kama hiyo unajilinganisha nayo vipi ?Unawezaje kupambana na USA ? Ni ndoto za mchana

Ubavu huo mnauyoa wapi nyie ombaomba makapuku mnaonuka ukapuku wa kizimbabwe ? Juzi Tu hapa mama yenu Samia kapeleka nguru zake Kule kutembeza bakuliHilo zee jinga sana
Hivi kwanza tukiungana nchi za africa tukanunua wese itakuaje?
Na bado anazidi kumwaga pesa hapo Ukraine.Hebu imagine hiyo budget yake aliyotenga Kwa ajili ya vita hapo Ukraine , ikiwekwa hapa Africa inaweza transform nchi nyingi sana zikawa ulaya ndogo , halafu nchi kama hiyo unajilinganisha nayo vipi ?
RUSSIA TAIFA TEULEUSA baby, shikilia papo hapo mpaka Putin akome ujinga...
Bwana Utam Urusi taifa teule ha ha ha
Marekani ana mkono mrefu sana kila mahali mkuu, hadi ku-like tu comment yako tunaogopa ujue
Bila msaada mkubwa wa Urusi barani kwa Afrika, nchi nyngi za kiafrika yangebaki chini ya ukoloni daima duni - don't you forget that.