Uganda yakataa ombi la Urusi kununua mafuta

Uganda yakataa ombi la Urusi kununua mafuta

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema nchi yake haitaagiza mafuta kutoka, Urusi kama alivyoomba Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Sergey Lavrov wakati wa ziara yake ya hivi karibuni nchini Uganda.

1659945044803.jpg
 
Dah, ni kweli kwamba vikwazo vinamuathiri mno Russia maana anatembea kila mahali kuomba auze mafuta yake kwa bei chee ili mradi tu uchumi usiporomoke mazima.

Bado hata hiyo bei chee mataifa mengine hayataki kuisikia kwasababu wanamuogopa mwenye dunia yake Marekani.
 
Umoja wa Africa hauna maana ya kuwepo, Africa tunatakiwa tuwe majimbo ya marekani,viongozi wa africa wameshikiwa akili na marekani,haiingii akili wagombane wao sisi ndoo tuumie,umoja wa Africa ungesema moja tuu,sisi Africa na ugomvi wenu hautuhusu,tukaona Kama marekani ataweza kutuwekea vikwazo nchi zote za Africa,
 
Uwanjani vita imewashinda sasa mnaendeleza vita ya maneno.yani mnaongea habari wenyewe,kisha mnajijibu wenyewe.iyo UGANDA inatumia asilimia ngapi ya mafuta yaliyokuwa yanakuja AFRICA kutoka URUSI?.
 
Umoja wa Africa hauna maana ya kuwepo, Africa tunatakiwa tuwe majimbo ya marekani,viongozi wa africa wameshikiwa akili na marekani,haiingii akili wagombane wao sisi ndoo tuumie,umoja wa Africa ungesema moja tuu,sisi Africa na ugomvi wenu hautuhusu,tukaona Kama marekani ataweza kutuwekea vikwazo nchi zote za Africa,
Si ndio nyie juzi mlimsifia sijui amemtolea nje mjumbe wa marekani? Hahahaha
 
Huyu ndie Alias Yoweri Kaguta Museveni bana kichwa yake imekaa kama ya mamba ni mwendo wa fursa tuuuu.
 
Back
Top Bottom