Uganda yakataa ombi la Urusi kununua mafuta

Tulisema toka mwanzo vikwazo ni adui mkubwa kuliko nuclear..warusi wa bongo wakatubishia..

Haya sasa kiko wapi? Hakuna nchi ya Africa hata moja atathubutu si kuagiza tu bali hata kupewa mafuta ya bure.
 
Guys life is tough out there.. Ulaya na Marekani waondoe vikwazo vyao kwa nchi za Africa, tunaumia sana.
Wataondoa vipi na wakati siku zote wanapenda kuiona dunia ikiwa ni mahali pa vurugu, njaa, vita, ushoga, usagaji, kuua watu wenye mitazamo tofauti, nk!!!
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema nchi yake haitaagiza mafuta kutoka, Urusi kama alivyoomba Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Sergey Lavrov wakati wa ziara yake ya hivi karibuni nchini Uganda.

View attachment 2317820
Safi sana mzee kaona mbali.....U.S.A ..DUME LA NYANI LIMEKWEPA MINGI MISHALE....Yaani USA alipambana hadi kuikomboa nchi iliyomtawala (UK) kuondokewa na fedheha ya WW2.....ije kuwa mtawaliwa RUSSIA..??
 
Umoja wa Africa hauna maana ya kuwepo, Africa tunatakiwa tuwe majimbo ya marekani,viongozi wa africa wameshikiwa akili na marekani,haiingii akili wagombane wao sisi ndoo tuumie,umoja wa Africa ungesema moja tuu,sisi Africa na ugomvi wenu hautuhusu,tukaona Kama marekani ataweza kutuwekea vikwazo nchi zote za Africa,

its too late kuinuka na kuamka sasa hivi. wao mpaka wanatukataza wa Africa wanajua ni wapi wakishika hatuna ujanja. madhara ya kununua mafuta ya russia ni mabaya kuliko kuendelea na changamoto ya mfumuko wa bei uliopo. Mwili unataka kupingana na USA lakini Akili inakataa.

njia pekee za kununua mafuta ya Russia sasa hivi ni kupitia njia za Magendo tu
na wakikubaini you are finished.

hata washirika wa Russia wanataka kununua mafuta lakini kumlipa kwa Swift hawawez unamlipaje.

ipo hivi siku Western wakipata njia ya kudumu mbadala wa mafuta na gesi ndo itakua balaaa. maana hawachelewi kusema kua rubble ya Russia haitambuliwi kama frdha ya kimataifa kuepuka hilo russia akasema basi mafuta yangu na gesi zitanunuliwa kwa Rubble. ili kuibakisha Rubble duniani.

Putin anatafuta washirika washirika nao wana mkubalia sawa Tuta nunua mafuta yenu Lakin wanajiuliza Tunakulipaje Bwana mkubwa??

Benk moja tu ya urrusi ndio ilio bakishwa kwenye Mfumo wa Swift. na hio ni kwaajili ya kuwauzia western Gas [emoji618]️ si vinginevyo.

ndio maana Russia anawapa western gas kwa kunyunyizia ili utegemez wa gas uzidi kua mkubwa wasiwe na akiba ya Kutosha wakamfungia Mazima maana Russia sasa hvi hakopesheki wala Hakopi

anatumia gharama kubwa ya kuendesha vita kuliko mapato.

am telling you brother
western na USA bado wanaitawala Dunia

tulimtegemea ataleta balance of power Russia na China Ndio hao.
sijui nani atatukomboa?

nafkiri Africa tungeendelea kuishi mapangoni na kudumisha mila zetu walizo tuachia mababu. tuish mapangoni na kutegemea vitu vya Asili hii globalization tumeingia kwa kukurupuka kidogo.

yan hata tukiungana muungano unakufa haumalizi miaka. ukiuliza kisa wanakuambia siwez kuungana had na mimi nipate madaraka makubwa kwenye Muungano na fursa za kuiba.

its too late kuzinduka sasa hivi
siasa zetu za Undumi la kuwili ndizo zinazo tufikisha hapa.

kwa sababu
hata wawekezaji wanatoka katika maeneo hayo mawili ili wawekezaji wa kibeberu waje wanataka ukubali sheria za kibeberu na sisi tupo newtral
na ili wawekezaji wa mrengwa wa kicomunist waje wanataka sera zao zitawale wakikukuta upo Newtral wanakuacha.
huu Umalaya wa kisiasa huku tunataka na huku tunataka unatuponza sana Africa

fikiria wale wote walio chagua upande wa kuepo ndio wanao neemeka sasa.

upofu tu.

Kama tangu zamani tungefungua milango kwa Mabeberu nasisi leo Tungekua Beberu la Africa ila nyerere kwa kuendekeza china ambayo hata ucomunist wenyewe umewashinda. ndio ulio tufikisha hapa.

Aslam Aleykum
 
Marekani ana mkono mrefu sana kila mahali mkuu, hadi ku-like tu comment yako tunaogopa ujue
 
Umoja wa Africa hauna maana ya kuwepo, Africa tunatakiwa tuwe majimbo ya marekani,viongozi wa africa wameshikiwa akili na marekani,haiingii akili wagombane wao sisi ndoo tuumie,umoja wa Africa ungesema moja tuu,sisi Africa na ugomvi wenu hautuhusu,tukaona Kama marekani ataweza kutuwekea vikwazo nchi zote za Africa,
Kabisa kwanini kila kitu tunamsikiliza mmarekani tu?
 
its too late kuinuka na kuamka sasa hivi. wao mpaka wanatukataza wa Africa wanajua ni wapi wakishika hatuna ujanja. madhara ya kununua mafuta ya russia ni mabaya kuliko kuendelea na changamoto ya mfumuko wa bei uliopo. Mwili unataka kupingana na USA lakini Akili inakataa.

njia pekee za kununua mafuta ya Russia sasa hivi ni kupitia njia za Magendo tu
na wakikubaini you are finished.

hata washirika wa Russia wanataka kununua mafuta lakini kumlipa kwa Swift hawawez unamlipaje.

ipo hivi siku Western wakipata njia ya kudumu mbadala wa mafuta na gesi ndo itakua balaaa. maana hawachelewi kusema kua rubble ya Russia haitambuliwi kama frdha ya kimataifa kuepuka hilo russia akasema basi mafuta yangu na gesi zitanunuliwa kwa Rubble. ili kuibakisha Rubble duniani.

Putin anatafuta washirika washirika nao wana mkubalia sawa Tuta nunua mafuta yenu Lakin wanajiuliza Tunakulipaje Bwana mkubwa??

Benk moja tu ya urrusi ndio ilio bakishwa kwenye Mfumo wa Swift. na hio ni kwaajili ya kuwauzia western Gas [emoji618]️ si vinginevyo.

ndio maana Russia anawapa western gas kwa kunyunyizia ili utegemez wa gas uzidi kua mkubwa wasiwe na akiba ya Kutosha wakamfungia Mazima maana Russia sasa hvi hakopesheki wala Hakopi

anatumia gharama kubwa ya kuendesha vita kuliko mapato.

am telling you brother
western na USA bado wanaitawala Dunia

tulimtegemea ataleta balance of power Russia na China Ndio hao.
sijui nani atatukomboa?

nafkiri Africa tungeendelea kuishi mapangoni na kudumisha mila zetu walizo tuachia mababu. tuish mapangoni na kutegemea vitu vya Asili hii globalization tumeingia kwa kukurupuka kidogo.

yan hata tukiungana muungano unakufa haumalizi miaka. ukiuliza kisa wanakuambia siwez kuungana had na mimi nipate madaraka makubwa kwenye Muungano na fursa za kuiba.

its too late kuzinduka sasa hivi
siasa zetu za Undumi la kuwili ndizo zinazo tufikisha hapa.

kwa sababu
hata wawekezaji wanatoka katika maeneo hayo mawili ili wawekezaji wa kibeberu waje wanataka ukubali sheria za kibeberu na sisi tupo newtral
na ili wawekezaji wa mrengwa wa kicomunist waje wanataka sera zao zitawale wakikukuta upo Newtral wanakuacha.
huu Umalaya wa kisiasa huku tunataka na huku tunataka unatuponza sana Africa

fikiria wale wote walio chagua upande wa kuepo ndio wanao neemeka sasa.

upofu tu.

Kama tangu zamani tungefungua milango kwa Mabeberu nasisi leo Tungekua Beberu la Africa ila nyerere kwa kuendekeza china ambayo hata ucomunist wenyewe umewashinda. ndio ulio tufikisha hapa.

Aslam Aleykum
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Ukisikiliza story za warusi wa buza utaingiwa na uoga utasema marekani inaanguka kesho kutwa tu
Nimecheka,,,,ila lisemwalo lipo si unaona Ukraine kule nchi inamegwa tuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom