Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,330
Hakuna cha taratibu! Watu wanatoka kutafuta chakula walishe familia!Taratibu zingine zinaweza kufanyika kupunguza adha ya njaa ila sio kukaidi amri.
Mnaiga iga tu! eti quarantine!
Nchi masikini kama Uganda unajifanya una quarantine? Kawape chakula basi!