#COVID19 Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

WaAfrica tunachekesha sana, yaani unapeleka watu lockdown wakati taifa lako zaidi ya 80% ni wachuuzi wanaotegemea kuche wakatafute chakula cha leo na wengine cha kesho..

Amakweli ujinga ni mali ya Africa, eti unawaweka lockdown wananchi masikini aisee huku Africa kweli kuna viongozi..Hao wananchi ni wakati sasa nao kufanya mapinduzi ya amani..
 
Niliweka Uzi humu kuhusu hatari ya kuweka sheria ya Lockdown kwenye nchi yenye watu wengi masikini,baadhi ya comments zikanibeza nikawaambia tusubiri tuone....sasa majibu ndio hayo yanaanza hiyo ni siku ya pili tu ktk siku 21 hatujashuhudia haya nchi za wenzetu wa ulaya na america
View attachment 1400502
Mmoja wa waliopigwa risasi, Alex Olyem. Picha na Jessica Sabano/Daily Monitor
Watu wawili wamelazwa hospitalini baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi waliopelekwa kusimamia amri ya Rais Museveni ya kuzuiwa kwa usafiri wa umma kwa nia ya kukinga kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.

Alex Olyem na Kasim Ssebude ambao kwa sasa wamelazwa katika hospitali kuu ya Mukono, walipigwa risasi wakati wakiwa wanaendesha pikipiki katika eneo la Goma Manispaa ya Mukono.

Oryem alipigwa risasi mguu wakati Ssebude alipigwa risasi tumboni. Wawili hao ambao ni wajenzi walikuwa wakisafiri kutoka Seeta kwenda Namugongo wakati walipokumbana na polisi.

Polisi waliwatuhumu kwa kupuuza maagizo ya Rais, ingawa Bw. Oryem alisema kwamba hakujua maagizo ya rais kwa sababu hakuangalia habari Jumatano jioni wakati Rais Museveni akitangaza hatua mpya za kuzuia kuenea kwa coronavirus.

========

Two people are admitted to hospital after they were shot by police officers deployed to enforce President Museveni’s suspension of public transport in a bid to prevent the spread of coronavirus.

Alex Olyem and Kasim Ssebude who are currently admitted to Mukono general hospital were shot while riding on a motorcycle in Goma Division Mukono Municipality.

Oryem was shot in the leg while Ssebude was shot in the stomach. The two construction workers were travelling from Seeta to Namugongo when they were intercepted by police.

Police accused them of defying the presidential directives.

Oryem told Daily Monitor that he was unaware of the presidential directives because he did not watch news on Wednesday evening when President Museveni announced the new preventive measures against the spread of coronavirus.

The president said boda boda cyclists would not be allowed to transport passengers.

"As we were going to work, we met two officers who blocked us and blamed us for being two on a motorcycle. When we tried to ask the officers what offence we had committed, they just started shooting at us," Oryem said.

They said the police officers first shot two bullets in the air before shooting at them.

Kampala metropolitan police spokesperson, Mr Patrick Onyango, said the two were shot after they allegedly tried to attack a police officer.

“After police stopped them, they tried to attack our officers. He first fired warning shots in the air. People should not defy presidential directives aimed at preventing the spread of coronavirus in Uganda,” he said.

Uganda has so far confirmed 14 cases of coronavirus pandemic which has wreaked havoc in different parts of the world.


Source: Daily Monitor

=======

MAONI YANGU:

Nimeangalia video za India wakitumia fimbo ila Africa wanapiga cha moto.

Naeza kusema hii inatokana na kukosa stock ya chakula muda huo wa quarantine.

Niliwahi kusema njaa ni mbaya kuliko corona.Huwezi kumfungia mwenye njaa ndani akatulia.

Viongozi wa Africa ni tatizo zaidi ya Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wafanyaje, tuseme wewe ndiye kiongozi kwasasa ungefanyaje mkuu?



So njia bora ya kuwafanya hao wanaocheza cheza hapo majini ni kuwaua kwa bunduki ?

Hakuna njia bora ya kuwaadabisha hao wote au !!

Sikubaliani na wote wanaokwenda kinyume na hayo maagizo lakini sikubaliani na kuwapiga risasi hao watu, tutefute njia sahii za kuzuia hayo yasitokee.
 
Hilo suala ni tata saana ila mwisho wa siku kukaa ndani ndiyo suluhisho pekee la kujikinga.

Halihitaji kujadiliwa kwa jazba na mbwembwe za matusi.

Kun mawili kuchagua ugonjwa ambao mwisho kifo ama kukaa ndani.

Taratibu zingine zinaweza kufanyika kupunguza adha ya njaa ila sio kukaidi amri.
Kukaa ndani maana yake ukubali kufa kwa njaa ukikimbia Korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom