#COVID19 Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

Hakuna cha taratibu! Watu wanatoka kutafuta chakula walishe familia!

Mnaiga iga tu! eti quarantine!

Nchi masikini kama Uganda unajifanya una quarantine? Kawape chakula basi!
Hahaha...viongozi wa afrika wana kazi ya kuliongoza hili bara kabisa.

Wakiaacha mnalalamika..mkifungiwa mnalalamika.
 
India
Screenshot_20200326-134518_Facebook~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni hali ni mbaya, tusiishi kwa mazoea, ukiambiwa kaa ndani wewe kaa ndani hata kamaa una njaa
====================

Ugandan police said on Friday that two men were in hospital after being shot for violating restrictions on transport in a bid to curb the spread of coronavirus.
Ugandan President Yoweri Museveni has urged people to stay home but has stopped short of ordering a lockdown.

Schools, places of entertainment and worship and some agricultural markets have been shut for a month and people have been banned from using public transport, and being more than three to a car, or one on a private motorbike.

"Police officers on duty to enforce a presidential directive stopped two men on a motorbike in Mukono (near Kampala) on Thursday," Uganda metropolitan police spokesman, Patrick Onyango told AFP.

"They attacked one of the officers, he fired the warning shot in the air but they charged at him and he shot one of them in the leg and another in the stomach."

Onyango said the men, who were in hospital, had said they were not aware of the directive banning public transport and private motorbikes carrying more than one person.

Uganda police shoot 2 for violating movement ban
 
Video zinajieleza hapa Chini. Kuna kila dalili za kutolea machafuko kwenye nchi moja wapo EAC
 
Yaani police kukosa ustaarabu, wewe umeitimisha kwakusema Magufuli ni Genius,
kwa akili hizi acha tu Tz ya viwanda isubili
 
Back
Top Bottom