UGANDA: Wanaume wanashindana na Watoto kunyonya maziwa ya Wanawake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Imeripotiwa kuwa nchini Uganda kuna ongezeko la Wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao mara baada ya kujifungua

Kuna taarifa kuwa Wanaume hunyonya maziwa yote na kuwanyima watoto haki yao ya msingi

Wanaume wanaamini kuwa maziwa ya Mama aliyejifungua huwapa manufaa mengi sana
 

Attachments

  • S_KiGiGI.mp4
    4.4 MB · Views: 78
Mbona hapa bongo tupo weeeng tui!! cha msingi mrishe sana mkeo, apate virutubisho vingi!! tatizo sasa la kina Mama eti hawatki kunenepa!! hivi wanaume mnajua ile ni dawa sana?? tena mkeo akizoea nakwambia utafaidi vingi! wanapenda hao heee!!

tena anakuwekea mdomoni kabisa km demu wangu wa kihindi! jamani mwee! hii tu ndo ilifanya nipendwe mwenzenu kwani uliona wapi wanalalmika polisi?? nadhani kuna mtu kabwagwa huko akaamua kutoa siri!!
 
Back
Top Bottom