Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,646
- 20,984
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amevitolea lugha kali Jeshi la Polisi pamoja na idara ya Mahakama kwa uzembe na kutotimiza wajibu wao.
Amevilaumu vyombo hivyo na kuliita Jeshi la Polisi la kizembe kwakuwa mauaji, utekaji na matendo hovyo yamekuwa yakishamiri.
Kauli hizo amezitoa kufuatia mpwa wake kuuawa na watu wasiojulikana, Museveni ameitaka idara ya Mahakama kutenda haki kwa kutoa hukumu 'jicho kwa jicho' kwa yeyote atakaye kamatwa kuhusika na tukio hilo.