Uganda: Wamgusa mpwa wa Rais, Museveni ang'aka kwa uchungu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,590
20,899
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amevitolea lugha kali Jeshi la Polisi pamoja na idara ya Mahakama kwa uzembe na kutotimiza wajibu wao.

Amevilaumu vyombo hivyo na kuliita Jeshi la Polisi la kizembe kwakuwa mauaji, utekaji na matendo hovyo yamekuwa yakishamiri.

Kauli hizo amezitoa kufuatia mpwa wake kuuawa na watu wasiojulikana, Museveni ameitaka idara ya Mahakama kutenda haki kwa kutoa hukumu 'jicho kwa jicho' kwa yeyote atakaye kamatwa kuhusika na tukio hilo.
 
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amevitolea lugha kali Jeshi la Polisi pamoja na idara ya mahakama kwa uzembe na kutotimiza wao.
Amevilaumu vyombo hivyo na kuliita jeshi la polisi la kizembe kwakua mauaji, utekaji na matendo hovyo yamekua yakishamiri.
Kauli hizo amezitoa kufuatia mpwa wake kuuwawa na watu wasiojulikana, Museveni ameitaka idara ya mahakama kutenda haki kwa kutoa hukumu 'jicho kwa jicho' kwa yeyote atakaye kamatwa kuhusika na tukio hilo.
Mkuki kwa nguruwe, upumbavu sana!
 
Kutoa hukumu "jicho kwa jicho"
Thats mean as president,ameshaiamrisha mahakama juu ya nini ikifanye!.
 
Museven, wafuaa/wapambe wa karibu wa mwanasaiasa Chagulani uliowaua na wengine kuwawamba kwa misumari mikononi nao ni binadamu kama huyo mpwa wako, mkuki kwa ngurue
 
Simon, Pole sana. Vipi imekuwaje mpaka unataka wahamie huku kwetu wafanye kama walivyofanya Uganda wamuue mpwa wako?
Asante sana mkuu.

Mi sio mpwa wangu, bali ni ndugu yangu wa baba mmoja na mama mmoja kapotezwa na wasiojulikana na wenye mamlaka ya kuwajua hao wasiojulikana wamekaa kimyaa kama hakuna au hawakijui kinachoendelea.

Kwahiyo wakimteka na kumuua au kumpoteza mpwa au ndugu yeyote wa mmoja kati ya wenye mamlaka, nadhani huu mchezo utapungua kama sio kwisha kabisa.
 
Asante sana mkuu.

Mi sio mpwa wangu, bali ni ndugu yangu wa baba mmoja na mama mmoja kapotezwa na wasiojulikana na wenye mamlaka ya kuwajua hao wasiojulikana wamekaa kimyaa kama hakuna au hawakijui kinachoendelea.

Kwahiyo wakimteka na kumuua au kumpoteza mpwa au ndugu yeyote wa mmoja kati ya wenye mamlaka, nadhani huu mchezo utapungua kama sio kwisha kabisa.

Hiyo sera ya kuuana wapo watakaoiunga mkono. Ipelekwe kwa wananchi waipime.
 
Back
Top Bottom