Wana uzoefu gani Hao rwanda?vita ya kupigana na wahuni wa mstuni ambao hawana vifaru ndege nk hizo huwa ni operesheni tu sasa mwambie ajichanganye kwa mseveni ambaye nchi yake ilishaonja uchungu wa vita[
/QUOTE]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza kilichotokea kisangani majeshi ya nchi hizo mbili yalipovaana.Dakika 10 tu rwanda yote itakuwa sehemi ya uganda.we watu wanamiliki mpaka sukhoi alafu uke kuwapa tabu kwenye vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua huyu Richard Sezibera ni nani?Hizi habari zinafanana na uzushi. Fake news.
M7 huyu huyu huyu ambaye out of 21 founding members wa jeshi lake NRA 11 walikua hao wanya rwanda ambaoni ni wakina PK&Rwigema etc.
Huyu huyu M7 aliyepewa kichapo na RDF pale kisangani akabaki kulia lIa eti wameniwahi huku maelfu ya UPDF soldiers wakifa vitani.
Huyu huyu M7 ambae kagame alikua CMI(Chief of Mikitary Intelligence) wa jeshi la Uganda mpk M7 akaambiwa nakujua mpk unapolala.
Rwanda walikua wanamtumia huyu Mkuu wa jeshi la polisi IGP(Kaihura) kwa inshu zao kuja kushtuka it's too late.
Yule CDF wa Uganda Gen. Katumba walimshtukia kiaina lkn hao wakina PK walikua washafanya mambo yao.
M7 akikohoa kidogo tu wanakomaa tu khs Buganda kingdom kutawala Uganda anaanza kulia lia ukiangalia ashakua mtu mzima sasa(more than 70 years) hawezi kurudi msituni tena,ni shiiiiida.,huku akijua yule mtoto wake anayempandisha vyeo vya kijeshi kila siku Gen. Muhooza hana uzoefu wowote wa vita ya maana zaidi ya kujua kuoongoza kikosi cha ulinzi cha babaake.
Msimamo wangu uko pale pale anayeweza kuithibiti Rwanda kwa hapa East Aftica ni mbabe bongo land(UPDF) only na sio nchi nyingine yoyote ile.
Thibitisha kwanza wewe ile silaha yako ya 'kufikirika' BUK ngapi Sijui inafanya kazi wapi.Thibisha
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hata leo ikitokea vita M7 atashughulikiwa fasta tu,wala PK hamuogopi hata chembe.Uliza kilichotokea kisangani majeshi ya nchi hizo mbili yalipovaana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya mpongo binti mwamalii-Bambo hua anaapia hivo.Apia
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, OK hapo ktk UPDF ulikua una maanisha TPDF ama?M7 huyu huyu huyu ambaye out of 21 founding members wa jeshi lake NRA 11 walikua hao wanya rwanda ambaoni ni wakina PK&Rwigema etc.
Huyu huyu M7 aliyepewa kichapo na RDF pale kisangani akabaki kulia lIa eti wameniwahi huku maelfu ya UPDF soldiers wakifa vitani.
Huyu huyu M7 ambae kagame alikua CMI(Chief of Mikitary Intelligence) wa jeshi la Uganda mpk M7 akaambiwa nakujua mpk unapolala.
Rwanda walikua wanamtumia huyu Mkuu wa jeshi la polisi IGP(Kaihura) kwa inshu zao kuja kushtuka it's too late.
Yule CDF wa Uganda Gen. Katumba walimshtukia kiaina lkn hao wakina PK walikua washafanya mambo yao.
M7 akikohoa kidogo tu wanakomaa tu khs Buganda kingdom kutawala Uganda anaanza kulia lia ukiangalia ashakua mtu mzima sasa(more than 70 years) hawezi kurudi msituni tena,ni shiiiiida.,huku akijua yule mtoto wake anayempandisha vyeo vya kijeshi kila siku Gen. Muhooza hana uzoefu wowote wa vita ya maana zaidi ya kujua kuoongoza kikosi cha ulinzi cha babaake.
Msimamo wangu uko pale pale anayeweza kuithibiti Rwanda kwa hapa East Aftica ni mbabe bongo land(UPDF) only na sio nchi nyingine yoyote ile.
Kwaiyo ubora wa RDF ni ushindi wa kisangani?
Victory memory ya RDF ni kisangani ?
Kisangani haikuwa vita bt ilikuwa ni heavy battle pia hawa RDF walikuwa eneo la kimbinu zaidi kuliko updf
Nadhani ile battle updf walipotea kwa sababu ya akili finyu ya general kazini basi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Halafu kwenye misaada watu wafanye yao kkkkkkkkUmesahau Jiwe alisema wapigane ili misaada ipitie tz? Mbona mnakuwa wasahaulifu wa makusudi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjomba unazijua mig 21 zetu?,nikupe taarifa ni ndege vita za toleo la kati zisizochuja uwezo kwa miaka nenda rudi ni sawa na land rover old version heshima na uwezo wake uko palepale hizo nyingine ni maboresho ya ziada tokea kwa kina mig21 kama ni gari hilux redio ya button na mark x redio ya touch lakini wote mnasikia na mnaenda mnapotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Though.Rwanda imejioenyeza UGanda. Lakini ikija convention war. Rwanda haitasimama siku nzima.
Hahahaha, asee Kisangani war ,OK
Nadhani hii vita mngeijadili kwa upana wake ,maana bila hivyo tutaachana njia panda ,kuna aliyewahi kuingia RDC na akawa tayari (RDF) anaijua miundo mbinu na kuna aliyekuja baadae ( UPDF)
OK uzuri Mjadala uko poa,wengine tubaki wachombezaji tu na kusoma
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, mie sio mzuri ktk kuandika/kuanzisha nyuzi ,ingawa nayajua mengi kiasi kdgMkuu anzisha Uzi ili ufafanue zaidi kuhusu hiyo vita kwa lengo la kuweka kumbukumbu sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app