luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,967
Moja ya sababu ya Cow kuvunjika niNdani ya miaka 10 iliyopita mataifa hayo mawili kushirikiana na Kenya waliunda kitu kinaitwa collision of willingness their intention was to sideline Tz gafla wakaanza ku rish kuelekea political federation kumbe bado hatuja maliza makwazo ya kiuchumi na siasa za ajabu viongozi wanaleta personal issues zao ktk mambo ya kitaifa moja kwa moja
Ni aibu sana kwa huyu Dr sizibera kama akiwa anashiriki kutia utambi ugomvi huu ilihali yy alikuwa katibu mkuu wa EAC so vyema akawa mshauri kwa pande zote mbili awe catalyst kuleta mazungumzo on tableRwanda imewasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Serikali ya Rwanda imewasihi wananchi wake kusitisha ziara zao nchini Uganda baada ya kuishtumu nchi hiyo kuwanyanyasa raia wake wanaoishi ama kutembelea nchini humo.
Uganda imeishutumu Rwanda kufunga mipaka baina ya nchi mbili,lakini Rwanda imekanusha na kusema mipaka iko wazi.
Alhamisi iliyopita mamlaka ya mapato ya Rwanda iliamrisha maroli ya mizigo kutotumia tena mpaka wa Gatuna kwa madai ya shughuli za ujenzi wa kituo kimoja cha mpakani 'one stop border' baina yake na Uganda.
Kwa mjibu wa mamlaka ya mapato ya Rwanda malori yaliombwa kutumia mpaka wa pili wa Kagitumba kaskazini mwa Rwanda.
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Hata hivyo watumiaji wa mipaka hiyo miwili hupendelea njia ya mpaka wa Gatuna kuwa rahisi na fupi kuliko ya mpaka wa Kagitumba.
Nchi mbili zinaendelea kurushiana lawama.
Rwanda inaishutumu Uganda kunyanyasa wanyarwanda wanaoishi ama kufanyia biashara nchini Uganda na pia kuunga mkono makundi ya waasi hususani kundi la Rwanda National Congres linaloongozwa na mkuu wa zamani wa majeshi Jenerali Kayumba Nyamwasa aliyeko uhamishoni nchini Afrika kusini.
Kwa upande mwingine, Uganda inashutumu Rwanda kwa vitendo vya kijasusi kwenye ardhi yake huku ikiwashuku baadhi ya raia wa Rwanda kuhusika na vitendo hivyo.
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Mkwamo wa shughuli katika mpaka wa Rwanda Uganda.
Eneo hilo lina umuhimu mkubwa kibiashara kieneo.
Ni eneo ambalo huruhusu kupita kwa bidhaa kutoka mji mkuu wa Uganda Kampala, au Mombasa pwani ya Kenya.
Wakaazi hapo wanasema ni kama 'ghala kwa biashara kutoka maeneo hayo'.
Akizungumza na BBC, Diwani Abel Bizimana katika eneo la Kisoro anaeleza kwamba, 'Hali haijabadilika. Tunaathirika kama viongozi wa kieneo, kama jumuiya ya wafanyabiashara na wateja pia tunaowahudumia.'
Abel ameeleza kuwa maisha yamebadilika pakubwa.
Kutokana na matatizo ya kibiashara na udhibiti wa watu kutoka na kuingia katika eneo hilo, watu ambao kawaida huja kupokea bidhaa kutoka mjini na wilaya ya Kisoro sasa inaarifiwa hawaji tena, wakiwemo hata waendesha boda boda ambao pia wamesitisha shughuli zao.
Siku mbili kuu za soko katika eneo hilo, Jumatatu na Alhamisi, ambazo hushuhudiwa shughuli nyingi za kibiashara, 'sasa limekuwa kama jangwa', anaeleza diwani Abel.
Usafiri wa mabasi umepungua pakubwa, bidhaa zinaharibika.
Wafanyabiashara wanaobeba mihogo au samaki wanapata hasara katika mpaka kwasababu mali zinaharibika.
'Nilipofika mpakani, nilihisi harufu kali ya samaki waliooza katika eneo hilo' ameongeza Abel.
Wiki iliyopita, msemaji wa serikali ya Uganda Ofwono Opondo ameiomba Rwanda kuruhusu wafanya biashara kuingiza bidhaa ili kuepuka hasara na uhasama zaidi.
Kwa upande wake Waziri wa maswala ya kigeni wa Rwanda, Richard Sezibera amenukuliwa akidai kuwa serikali ya Uganda inawadhulumu raia wa Rwanda wanaoishi Uganda.
Moja ya sababu ya Cow kuvunjika ni
Kenya iliona bila tz ni kazi bure pia huwa hawaamianiani na Uganda
Uganda na rwanda wakagundua pia uturivu wa nchi zao unategemea saana sera za tz
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Thanks, naamini hakuna chochote hapo ni mazoezi tuu ya kawaida ya kijeshi.#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hata siku moja hawawezi kuingia vitani, maana hao ni ndugu wa baba mmoja. Wasikupe hofu wataishia kutaniana hivo hivo kwa kusogeza vikosi vyao mipakani!.Hali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.
Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).
Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.
Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").
Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)
Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.
I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.
#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi story za vita humu jf mbona huwa zinakuwaga hazitokei katika uhalisia!?
Hukawili kusikia Magu atampasua Kagame mbaya kabisa!
Brother Chahali, kusema ule ukweli unahitajI pumzika kwa muda ujipe muda wa kuwaza namna ya kujenga hoja. Mengi unayoandika sio ya level yakoHali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.
Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).
Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.
Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").
Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)
Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.
I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.
#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani wewe rwanda wanateknorojia ipi hiyoHakuna vita hapo ingawaje ikitokea kagame atashinda sababu ya vifaa na technlogia huku mseveni hana teknolojia na jeshi lake haliko Pamoja...Magu atakuwa neutral ingawaje ana uwezo wa kuwachapa wote kwa Pamoja akiamua
Hiki ndicho ambacho hata mimi nakifiria, kuna yule mpinzani wa Kagame aliyefia hotelini kule SA, of course Kagame ndiye aliyemuua; namna alivyo fanya ni kama hu "ugomvi" wake na M7, siamini kabisa kama M7 anaweza kua na bifu na Mr. Slim kwa maslahi ya Burundi, never, hawa watu ni maswahiba wakubwa na zipo habari kwamba hawa jamaa apart from uswahiba wao lakini pia ni ndugu, remember wakati M7 anaingia madarakani, Mr. Slim alikua one of the very senior officials kwenye serikali ya Uganda na the same guy (M7) ndiye aliyemsaidia PK kuingia madarakani kwenye ile vita ilimwaga damu nyingi sana za Watutsi kule Rwanda na Burundi kidogo; namshauri sana mhe No 1 wetu, asijiingize kwenya haya mambo, but kwa mwenendo anaokwenda nao raisi wetu nahisi hata yeye nae ni zao la USALAMA wa taifa and hence nae pia ni shushushu vile vile kama wao, Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki TanzaniaM7 na Mr Slim ni majasusi isije ikawa wametengeneza Picha waonekane wana uhasama kumbe ni conspiracy maana sijaelewa chanzo cha uhasama wao.
Vipi Mkuu, utamchapa kwa stail gani au ni kama hiyo kwenye avatar yaakoNa jiwe akijiingiza tu nasi waTZ tunaanza kumchapa jiwe tukitokea nyuma yake na waanze tu iyo vita
Sent using Jamii Forums mobile app