Uganda ni wanafiki wa kutukuka

Wayahudi wanampinga kristo tangu yupo Hai,na ndio wao waliomsurubisha msalabani ,lakini hio haiondoi kuwa Israel ni taifa teule,na kingine ni kwamba Israel hamna wayahudi peke yao,Kuna mpka waislamu na wakristo.

Je ni point ipi iliyokufanya useme kuwa Israel sio taifa teule?
 
Wewe mdini endelea na mambo yako bhana hakuna Taifa teule pale mazee yaani taifa Teule liwe vitani kila kukicha na ndugu zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…