Ufupi na urefu wa mwanaume ni upi?

Ufupi na urefu wa mwanaume ni upi?

Km umevuka Centimeters 213 wewe ni mrefu chini ya hapo wewe ni mfupi, mimi nipo above 213 Centimeters kwa hio mimi ni mrefu

Hio ni Futi 7 kasoro yaan Futi 6.99 wengine wanaiita Futi 6 na inch kadhaa kimo cha Kaburi lako
Cm 200 unazijua au unazotaja tu😂, cm 200 huyo ni extra ordinary tall Tanzania wakitafutwa hao watu hawatazidi hata 50 nakuambia
 
Yote kwa yote, East and South Africans ukiwatoa Rwanda na Burundi, wanahesabika ni wafupi kulinganisha na West /North Africans. Ila sasa ukija kwa East Africans wenyewe Watz ni wafupi kulinganisha na hao wengine. Hapa tunaongelea majority, na hii ni kwa hii miaka ya kuanzia kizazi cha 2000s. Zamani Tz kulikua na mijitu mirefu sana sema hicho kizazi kimepotea nadhani ni shauri ya lishe. Chips /mayai zimetupoteza.
 
Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu.

Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita wafupi na kuwakejeli.

Na je ili ukubali mtu ni mrefu ni kwamba hadi awazidi wanaume wengine au akikuzidi wewe tu tayari ni mrefu?

Mwisho ningependa kujua kama kuna vipimo vya makadirio ili mwanaume ajue kuwa yupo kundi la wafupi au warefu je kipimo kinapaswa kuwa ngapi?
Subiri Vijeba wakupe muongozo.
 
Back
Top Bottom