Ufunuo wa nyakati za mwisho utimilifu wa dahari na kikomo cha muda

Ufunuo 9

Malaika wa tano akapiga baragumu, nami nikapanda nyota kutoka mbinguni iliyoanguka juu ya nchi; moshi ukapanda kutoka shimoni, kama moshi wa tanuru kubwa; na jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya moshi wa shimo. Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaja juu ya nchi; nao wakapewa uwezo, kama vile nge wa nchi walivyo na uwezo. Wakaambiwa wasiharibu majani ya nchi, wala majani wala mti wowote. ila ni wale tu ambao hawana muhuri wa Bwana kwenye vipaji vya nyuso zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…