mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89












wanachama wa club ya sinza jogging wakiwa katika mazoezi na miondoko katika mitaa ya sinza...club hii ilifunguliwa rasmi tarehe 14/04/2013 ikiwa na lengo la kufanya mchakamchaka kwa ajili ya kujenga miili kiafya na kuimarisha mahusiano yetu wakazi wa sinza...club hii mpaka sasa inawanachama zaidi ya hamsini na inahamasisha kila mtu mwenye uwezo wa kutoka asubuhi anakaribishwa kujiunga ni bure hakuna kiingilio chochote...muda wa kufanya jogging ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa moja na nusu asubuhi kila siku za jumamosi na jumapili....karibuni vijana kwa wazee tujenge na kuimarisha miili yetu kwa kufanya mchakamchaka...hapa magonjwa ya kizembe hatuyataki na hayakubaliki.