Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

haramu!YESU wa nazareti aliyatupa mapepo machafu yakaingia kwa nguruwe!kila nguruwe ana pepo mchafu
 
Mbona hujaweka effect ya SWINE- FLU, ambayo inaweza kuwamaliza nguruwe wote kwa wiki 1?

Ni kweli.
By the way externalities and uncertainties kwenye biashara disposable huwa hazikosekani. Ni sawa na mto unapoisshiwa maji wakati wa ukame, pale ambapo unafanya kilimo cha umwagiliaji
 
Mpwa nimekusikia!Nina vinguruwe vyangu vi3 nime vihasi vyote ila ebu nijaribu kuwa serious coz umenipa mwanga flani.naomba kujua hao vijakazi una walipaje?...

Kwanza tusitishe zoezi la kuwaita vijakazi, nilitumia jina hilo kama utani...ni wasaidizi! Kwanza kabla haujaamua unawalipa bei gani inatakiwa ujue mazingira gani mnaishi na benefits zingine. Mimi nafanyia shughuli zangu kijijini kabisa, nawalipa kiasi ambacho wao kinawaridhisha, ninawapa sehem ya kulala, kula na huduma za afya zote kwangu, wawili ni watu wazima wana familia nimewajengea vijumba vyumba viwili na sebule..ni mali yao! nawachangia kwenye mfuko wa nssf, nawapa likizo kila mwaka na kuwalipa, wote nimewatoa kwetu na wanafanyakazi na mimi kama ndugu yao, ni tofauti sana na nilivyokuwa nafanyakazi na wenyeji wa hapa kila siku udhuru na kuomba advance. Kwa ufupi kaka mshahara "haumati" sana, ni jinsi wewe unaishi nao kama sehem ya familia yako, na unajali kuhusu future zao. Mshahara utaomlipa mtu Dar au Arusha ni tofauti sana na mshahara ninaomlipa mtu Makete au Ruvuma!
 
Ni kweli.
By the way externalities and uncertainties kwenye biashara disposable huwa hazikosekani. Ni sawa na mto unapoisshiwa maji wakati wa ukame, pale ambapo unafanya kilimo cha umwagiliaji

Kaka Idimi sijui kuna nini kwako sioni kitufe cha like!
 
Mpwa nimekusikia!Nina vinguruwe vyangu vi3 nime vihasi vyote ila ebu nijaribu kuwa serious coz umenipa mwanga flani.naomba kujua hao vijakazi una walipaje?...

Mandingo! i didnt notice the name!
 
Kaka Idimi sijui kuna nini kwako sioni kitufe cha like!

Itakuwa unatumia simu wewe! Hata hivyo unaweza ku-like kwa kichwa tu, kama ambavyo unaitikia salamu kwa kichwa.
By the way nimependa wazo lako. Jamaa mmoja kauliza, unawalipaje watendaji wako? na Wako wangapi?
 
Basi naona kimerudi, nilidhani labda invisible amekafanya kawe invisible..lol! Naona mmekomaa na mishahara, wawili ambao nawatumia kama wasimamizi mishahara yao haizidi laki mbili, waliobaki mishahara yao haizidi laki moja; nadhani ni vizuri nikiliweka hivyo. Kikubwa siyo namba ya mshahara, kikubw ni benefits unazowapa, kama sikukuu inafika unashindwa kuchinja wanyama lau wawili wa kula na familia zote, na kuwagea elfu20 iliyo nje ya hesabu kila mmoja hautadumu nao!!
 
Hii nime ipenda!...
 
Hapo tunaenda sawa.
 
Mkuu usishangae ni aka tu hiyo then nasikia mabanda ya mbao/mabanzi/matapa sio mazuri we unashauri yapi?...

Ina tegemea na mtaji unaoanza nao;
Kama una mtaji mzuri sana unaweza kujenga kama wenzetu, namna hii:
pighousing_5.jpg

Lakini kumbuka hata wao walianza kama sisi namna hii:
pighousing2.jpg

Cha muhimu banda la nguruwe linatakiwa liwe na nafasi, liwe na mzunguko mzuri wa hewa, lisiwe linavuja, lisiwe linachimbika kirahisi chini (sakafu imara lakini isiwe inateleza sana). Unaanza taratibu, baadaye ukiona biashara inakuendea vyema unaweza kujenga majumba ya kisasa ya kufugia, otherwise mabanda yanatosha sana, mradi yawe masafi sana kuepuka maambukizi!
 
Ina tegemea na mtaji unaoanza nao;
Kama una mtaji mzuri sana unaweza kujenga kama wenzetu, namna hii:
View attachment 78002

Lakini kumbuka hata wao walianza kama sisi namna hii:
View attachment 78003

Cha muhimu banda la nguruwe linatakiwa liwe na nafasi, liwe na mzunguko mzuri wa hewa, lisiwe linavuja, lisiwe linachimbika kirahisi chini (sakafu imara lakini isiwe inateleza sana). Unaanza taratibu, baadaye ukiona biashara inakuendea vyema unaweza kujenga majumba ya kisasa ya kufugia, otherwise mabanda yanatosha sana, mradi yawe masafi sana kuepuka maambukizi!

mkuu Amoeba nime kuvulia kofia!!!
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu Hii inatisha sana

kama wewe ni mvamiaji wa kitimoto utakupata. Lava wa tegu hawafi kwa joto la maji ni lazima iwe above 100 ndo maana haishauriwi kupika nyama ya nguruwe zaidi ya kuiroast kwa mafuta. Kuroast kwa moto wa majiko yetu nako hakufai kwani lava hawafi kwa joto hilo. The bad thing ni kwa wale wanaoishi maeneo yenye prevalence kubwa kwani mayai unayokunya yanasombwa na maji na kupelekwa mashambani. Huko unachuma mboga za majani na kuzila kabla hazijaiva vizuri ndo unapata hiyo cysticercosis. Note: kula nyama ya nguruwe kunakuletea minyoo ambayo hukaa tumboni kwani hatua ya lava inafanyikia kwenye nguruwe. Kula mayai ndo kunaletea cysticercosis ambayo lava(cysticerci) hufanyikia kwa binadamu ambapo ikienda kwenye ubongo huletea kifafa. Hii inampata yeyote hata asiyekula nyama ya nguruwe ila akala mayai yaliyo kwenye mboga, maji ya kuoshea matunda nk. Kwa maeneo kama ya mkoa wa morogoro usishangae kukutana na mtu asiyekula nguruwe akawa na ugonjwa huo.
 
Mkuu Nyalotsi Ndio maana huyo wanayomuita mnyama wa Taifa au kwa jina lingine Kitomoto Ameharamishwa kwa Dini zote mbili dini ya Uislam na Dini ya Kikristo kuliwa Nguruwe ni Haramu lakini ukila shauri yako mchanga wa Pwani huo mimi simo Hospitali bila ya kupata Wagonjwa Ma-Daktari watalipwa vipi na Serikali? Kazi kwenu Walaji wa Kitomoto........................
 
hospitali haziwezi kukosa wagonjwa hata siku moja. Hata kifanyike nini! Kwani wadudu wameumbwa na wanapokuletea ugonjwa ni means yao ya kuishi. It is not their intention to harm you! Na ni mdudu mjinga atakayemuua host wake! Kuhusu kula nguruwe hilo sio tatizo, hapo juu nimeeleza. When u eat pork(uncooked) there are cysticerci which change into worms in your intestine. They have no way of entering your organs like liver, brain, kidney etc. But when eggs are swallowed from vegetables, fruits,water etc, they hatch into your intestines leading to larvae(cysticerci) which migrate into other body organs through blood systems. Here is where we get CYSTICERCOSIS but when we eat pork we get TAENIASIS. So it safe for the meat eaters than for the vegetarians.
 
Mkuu.@Nyalots unavyosema pia haitoshi kuwa wadudu wapo hata kama hautakula nyama ya Nguruwe

kuna maradhi mengine binadamu anajitakia mwenyewe kama mfano huo wa kula nyama ya nguruwe na kuwa

mtu mchafu pia waweza kupata maradhi. Hata Kama hospitali zimetengenezwa kwa ajili ya watu Wagonjwa

basi ndio ule nyama ya Nguruwe? ili ukiumwa ndipo uende hospitali? Unavyozungumza ni maneno ya Pumba

mkuu kila kitu alichokataza Mungu kina madhara yake kwa binadamu ukae ukijuwa ukitaka au usitake.

Ukitumia kitu alichokataza Mungu muumba basi utapata madhara makubwa ndani yake juwa hivyo.
 
Mkuu Mzizimkavu sitetei kula nguruwe ila naongea kitu ambacho watu wote wanatakiwa wakijue. Mimi siongei pumba, nitake radhi tafadhali we ni mtu wa heshima kwenye hili jukwaa. Kwenye life cycle ya tinea kuna host wawili, nguruwe na binadamu au mnyama yeyote anayekula nyama ya nguruwe. Nguruwe anakula majani au uchafu wenye mayai ya taenia ambayo yataanguliwa tumboni mwake. Lavae watapierce kwenye utumbo na kuingia kwenye mfumao wa damu mpaka kwenye misuli,maini,figo,ubongo nk ambavyo vitaliwa na binadamu na kugeuka na kuwa adult worms ndani ya utumbo wa binadamu. Hao wadudu wataendelea kuwepo tumboni na kufyonza nutrients na kusababisha matatizo mengine ya tumbo. Watataga mayai na pingili zitatolewa kupitia mavi ambayo ukinya popote yanasombwa na maji na cycle inaanza tena. Ikitokea binadamu akala mayai kupitia mboga, maji, matunda yataanguliwa tumboni mwake na cysticerci watakaa kwenye maini, uboogo, figo, misuli ya binadamu. Hii ndo inaleta cysticercosis ambayo husababisha kifafa. Kula nyama kunasababisha mzunguko uendelee na chance za kupata cysticercosis kuongezeka lakini siyo ukila nyama unapata cysticercosis badala yake unapata taeniasis. Ndo maana nikasema usishangae mtu asiyekula nguruwe kupata ugonjwa huo katika maeneo yenye prevalence kubwa. Naomba unisome vizuri na kunielewa.!
 
Mkuu.@Nyalots Samahani mkuu sasa umezungumza Point hongera.
 
tuko pamoja, lengo ni hata wasiokula nguruwe na wanaishi maeneo yenye ugonjwa huu wajihadhari kwa vitu wanavyokula kwani kuwepo tu kwa ugonjwa kunaongeza chance ya kuupata. Watu wawe WASAFI.
 
Back
Top Bottom