Kisusi Mohammed
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 563
- 468
Hahahahahahahahaaaaaa hakuna anaesalimika na umaskini, hata mimi ni mfuga kuku boss, yaani ni katika kufurukuta tusifariki kwa njaa.Kisusi Mohammed na wewe unajua biashara ya kufuga kuku? wazee wa teknosevis
Mkuu akitaka kizazi Cha kwanza uhakika ni Silverland lakini humu mtaani unaomba Mungu kizazi Cha pili na tatu wametapakaa.Kuwa makini utauziwa vifaranga wa kizazi cha 3 hadi 4 kwa bei hiyo
Silverland Kuroile bei gani?Mkuu akitaka kizazi Cha kwanza uhakika ni Silverland lakini humu mtaani unaomba Mungu kizazi Cha pili na tatu wametapakaa.
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri wazo bado lipo hai Naendelea kufanyia kazi zaidiMilioni 1 nyingi sana nakushauri nunua vifaranga ambao tayari wamepewa chanjo zote being sake kati ya elf4 au 5 nunua hata 40 Wa kuanzia alafu jenga banda lisizidi laki5 kozi 2 tofali zungusha wavu nenda kanunue bati second hand tazara milioni 1 inaweza kukuzalishia mpaka ukaogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kanunua silverlands na bdo analalamika hawakui na wanakula sana. Cha muhimu hata hizo za mtaani mi ninazo na sasahv ndo nafuga kibiashara maana mwanzo nilifuga kwa matumizi yangu tu.
Kuku we mpe chanjo zote na kuna ugonjwa mmoja mbaya sana unaitwa coccidiosis unakuwa unawapa dawa tu ukiona choo cha ugoro au dalili ya damu.
Vinginevyo hamna changamoto yoyote mwaka jana mwishoni niliuza kuku 160. Sahv nina kuku 270 tayari kwa pasaka...maisha ni kudhubutu maana mwanzoni niliona hawana faida ila nikitoa gharama ya ulishaji faida naiona.
Pumba tani 1 nanunua kwa laki 3. Then mahindi,mashudu,uduvi au dagaa,mifupa na chumvi. Chakula cha kununua cha ready made ni gharama sana maana kuroiler wanakula balaaa hadi usiku kama ukiwasha taa wao ni kula tu hawajui kingine.
Jaribu huwezi jua bahati yako iko wapi mana kila mtu na mkono wake. Kuna mwingine biashara ya kuku anaona hailipi, mwingine biashara ya gari hataki kusikia kabisa,mwingine kilimo anaona hakilipi ila kwa waliotoboa kupitia hivyo vitu ina mana walijaribu bila kuangalia hasara kwa awali.
Wana Saso juzi nilikuwa nao Bei 1200. Nimetoa oda huko ni kizazi cha kwanza.
Wana Saso juzi nilikuwa nao Bei 1200. Nimetoa oda huko ni kizazi cha kwanza.
Na broiler wanauzaje?Wana Saso juzi nilikuwa nao Bei 1200.Nimetoa oda huko ni Kizazi Cha kwanza.
Saso anaweza uzwa baada ya miezi 3?
Mkuu ukipata pure wenyewe unauza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo 1m tengeneza banda ntakupa mchongo wa vifaranga 500 aina ya sasoHellow, naombeni ushauri natamani kufuga kuku chotara eneo ninalo ila Nina balance ya mil moja tuu, je inawezatosha kwa ufugaji wa aina hiyo ya kuku? Nipo Dar es salaam Tabata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapHyo 1m tengeneza banda ntakupa mchongo wa vifaranga 500 aina ya saso
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaitwa kuku project wapo around ubungo. Ila hasa wanakopesa watumishi.Jamani wandugu mimi nina banda tena kubwa tu la kutosha kuku 500 na zaidi but kinachonisumbua ni mtaji nipo maeneo ya tabata chang'ombe naomba kama kuna mwenye kujua wapi naweza kopa vifaranga plz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaitwa kuku project wapo around ubungo.. Ila hasa wanakopesa watumishi
Sent using Jamii Forums mobile app