Umenipa kitu hapo, Napenda kweli na muda ninao wa kutosha tuu kuhudumia, ninapotaka kuanzishia majiran wafugaji wapo na nimeanza kuwahoji na kupata elimu kidogo kidogo,Jifunze taratibu kwa kuanzia na wachache
Angalizo, wachache huwa hawalipi Bali wa nakupa uzoefu ambao utakufaidisha pale ukianza kufuga wengi ili kukupa faida
Inahitaji
1. Concentration (muda na Nia thabiti) wanakatisha tamaa sana.
2. Resilience (ustahimilivu na uvumilivu wa kiwango cha juu), wengi wanakurupuka nakuishia pa hovyo
3. Moyo wa kupenda .... Maana wengi huishia kususa nakufilisika hasara hujitokeza Mara kwa Mara hususani unapoanza
-vifaranga wanakufa.....uzoefu wa matunzo
-magonjwa kuvamia na kuua Kuku wako...uzoefu wa matunzo nk
Ndio maana unashauriwa kuanza taratibu. Ukifaulu na kupata udhoefu ndio unafanya shughuli halisi...kufuga wengi kwa faida
Nayafahamu haya maana wife nimfugaji wakuku ameanza kama miaka tatu hivi sasa hivi amefaulu kufaham mbinu na mahitajio yote na anao wengi.
Kila raheri mkuu.
.........................................................
Hellow, naombeni ushauri natamani kufuga kuku chotara eneo ninalo ila Nina balance ya mil moja tuu, je inawezatosha kwa ufugaji wa aina hiyo ya kuku??nipo Dar es salaam Tabata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema ujipange, hutafanikiwa. Utanikuta umekula hiyo fedha kizembe
1. Anza kwa Kuku wachache kabisa 60 hivi
-watakufundisha
I) mahitaji yao
-dawa
-vyakula
-vyombo
-magonjwa nk
2. Washirika wako wa kukupa msaada
-wafugaji, majirani
-wataalamu wa mifugo nk
3. Uzoefu wa kushughulika na kero mbali mbali
Ukisha pata uzoefu kamili utaanza kuongeza idadi kadri ya mtaji na nafasi yako
Muhimu ni kwamba mambo ya ufugaji yanahitaji moyo, na uvumilivu maana faida hupatika baada ya muda kupita
Habari mkuu ,sehemu ya kufugia ninayo kama utakuwa tayari ni pm tushirikiane
Mkuu vp kuhusu changamoto ya soko. Na je vp kuku wa mayai na wa nyama wapi wanausumbufu zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale mnaotaka kuingia ubia
Kuweni makini sana, hii biashara sio rahisi kivile na nimesema tangu Jana
1. Uzoefu ni lazima
2. Uvumilivu ni lazima
3. Inachukuwa muda kukulipa, ukisha ijuwa nakuimudu inalipa kweli kweli....uhakika
4. Haitaji kukurupuka, harakaharaka lazima utapiga mzinga wa hasara
5. Kama ilivyo biashara zote za shamba zinahitaji utulivu, long time plans na concentration. ( Sayansi yakilimo haitaji siasa au blabla, ni vitendo na facts )
Nipo Dar gomz
Nimekupata ntakupmKama upo tayari njoo tushirikiane, mimi nina banda la kuku 1500 hivi na la kisasa kabisa,
Ndi ilikuwa nianze kufuga lakini nikapata matatizo, karibu naishi hapa Ukonga 77
Kwa mawasiliano zaidi 0738929380 View attachment 1011345
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku ni uwendawazimu.fuga ng'mbe au mbuzi.kuk kizungumkuti chakula gharama.Hellow, naombeni ushauri natamani kufuga kuku chotara eneo ninalo ila Nina balance ya mil moja tuu, je inawezatosha kwa ufugaji wa aina hiyo ya kuku??nipo Dar es salaam Tabata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa mjini mbuzi nitawAlisha nnKuku ni uwendawazimu.fuga ng'mbe au mbuzi.kuk kizungumkuti chakula gharama.
Jaribu Hao chotara mkuu anza Na wachache!
Kuna mtu anajiita mkulima _smart naona bei zake za vifaranga sio gharama kivile!
Afu yupo huko huko dar
Yeye niliona kuloiler anauza 1200 wakati huku Iringa ni balaa
Anza kidogo kidogo sio lazima uanze na Kuku 500, kuhusu banda unaweza ukajenga banda la mbao na wavu sio lazima utumie tofali.Hellow, naombeni ushauri natamani kufuga kuku chotara eneo ninalo ila Nina balance ya mil moja tuu, je inawezatosha kwa ufugaji wa aina hiyo ya kuku??nipo Dar es salaam Tabata
Sent using Jamii Forums mobile app
Shilingi Ngap hiyo mashine mkuuKama unataka kunyonyoa kuku wako kwa haraka zaidi na kutumia njia rahisi na haraka.
Kama unahitaji wasiliana nami.
Ni nzuri sana kama una eneo kubwa na halina magonjwa ya kuwadhuru kuku hao, kikubwa hapo ni unataka kufuga kuku wa aina gani, kiasi gani, na lengo la kuwafuga ni lipi?