Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAIStory za Wajasiliamali wa Kibongo huwa mara nyingi ni za kuingizana Chaka, Mwishowe unabaki unawaya waya na bidhaa zako!!!
Imeishia wapi kivipi? Hapa ni kuto kuwaamsha walio lalaNchi ya vituko hii.....
hivi na biashara ya mayai ya kwale imeishia wapi?
Furusa inayoka kwako mwenyewe. Wavumbuzi woye walioana furusa mbele yao. Wala hawakuhutubiwa furusa.Fursa ni sawa na miluzi ya wapiga debe au wauza mitumba, ukiisikiliza lazima uchanganyikiwe.
Kwa nini ukubali kushiliwa akili? Haya ni kwa sababu ya kushikiwa akili.Story za Wajasiliamali wa Kibongo huwa mara nyingi ni za kuingizana Chaka, Mwishowe unabaki unawaya waya na bidhaa zako!!!
Duuuh, huyo boss nae kilaza, hakuwaza hata kufanya utafiti kwanza??? Hiki ndio kinatuponza wajasiriamali wengi wa kitanzania, tunapenda kusukia vitu vya kututoa kirahisi sana bila kufanya utafiti, boss angechunguza kwanza uhataji wa michachai kuanzai soko la ndani na nnje, mpe pole boss michachaiKuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
Mkuu hakuna yeyote anaependa kushikiwa akili..,Kwa nini ukubali kushiliwa akili? Haya ni kwa sababu ya kushikiwa akili.
Watu wanapenda sana kushikiwa akili na watu wengine
Shida iko hapo. Hivi wewe mfano unaishi Songea then kuna timu inatika Dar inakuja Songea kuwaelezea watu wa Songea furuda zilizopo pale songea.Mkuu hakuna yeyote anaependa kushikiwa akili..,
Mara nyingi hali hii inatokana na ukweli kuwa uwezo wa Mtu wa kufikiri ndo umeishia hapo na anahitaji kujikwamua, hivyo njia pekee iliyobaki ni kupata Mawazo mbadala ambayo ndo yatamuongezea maarifa..,
Tatizo ni aina ya Washauri wengi wa siku hizi porojo ni nyingi kuliko uhalisia kutokana na ukosefu wa Tajiriba ya Kisayansi!!!
Watu waliaminishwa kuwa hiyo ni scheme ya kumtajirisha mtu kwa haraka....wakaivamia kwa wingi sana...Imeishia wapi kivipi? Hapa ni kuto kuwaamsha walio lala
Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
Ewaaaa Mbegu ,mbolea madawa ila wakati wa mavuno kapoteaalafu unakuta uyo jamaa ndio alimuuzia boss mbegu za mchaichai
Umeongea vema mkuu....sina la kuongeza...njia rahisi ya kufanya marketing research ya bidhaa za mifugo na kilimo.
amri ya kwanza.
wewe ndio mteja wa kwanza. kama unataka kuingia kwenye ufugaji labda wa sungura.
1. jiulize wewe ni mlaji wa sungura?
2.mara ya mwisho umekula sungura ni lini?
3. huwa unakula wakati gani na maeneo yapi. (hotelini, nyumbani, bar etc.)
amri ya pili.
angalia consumption pattern ya iyo bidhaa kwa majirani zako wa mtaani na ndugu zako wa karibu.
waulize maswali hayohayo hapo juu.
ukiona wewe binafsi si mtumiaji wa kwanza wa iyo bidhaa basi achana nayo.
fanya iyo analysis kwenye sungura, bata, bata mzinga, kuku, kanga, bukini, punda, ng'ombe etc... ukipata insight then wekeza.
Hawekewi poti,huwa mfugaji anatengeneza miundombinu nzuri ya kuvuna huo mkojo kwa kuweka bati na bomba la kukingia mkojo kama unavyovuna maji ya mvua picha nimeweka chini hapo unaweza kuonaCheki sasa ufalla huu,kwaiyo huyo Sungura utampa poti kama mtoto mdogo akojolee humo.?