Nimeshakua naye field Igunga japo hatufahamiani lakini anajituma na haogopi kati ya madada wote mapaparazi niliowaona pale, hata sauti yake ina lafudhi halisia, kifupi hana makuu
Hahahaaa...kanikosha juzi wakati akitoa taarifa ya matokeo ya awali ya baadhi ya vituo kule Arumeru alikuwa akiongea akiwa ndani ya mtaro baada ya usafiri aliokuwa akiutumia kutumbukia mtaroni
huyu dada anapenda kazi yake na anaijua pia. huyu dada ni jembe. anachapa kazi si mchezo halafu sio mnafiki coz anareport kitu kama kilivyo bila kuogopa boss wake wala serikali. hata kwa kumuangalia tu mumewe anafaidi sana. Umefika wakati aletwe kwenye a/c halafu na sembeye aende field tuone atareport nini kama hata acha kazi siku hiyo hiyo. big up sana mdada.
[Hahahaaa...kanikosha juzi wakati akitoa taarifa ya matokeo ya awali ya baadhi ya vituo kule Arumeru alikuwa akiongea akiwa ndani ya mtaro baada ya usafiri aliokuwa akiutumia kutumbukia mtaroni]
Aliyekuwa mtaroni ni Mwanaidi mkwizu na sio Ufoo Saro Mkuu