Ufoooo Sarrrrooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufoooo Sarrrrooo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amavubi, Apr 4, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Nampenda sana huyu binti anaonekana ni jembe sana, hasa nyakati za uchaguzi
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mimi ni ufooo saroo wa aitiviiii
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Si wewe peke yako
   
 4. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  anajiamini sana when reporting.. big up
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Nimeshakua naye field Igunga japo hatufahamiani lakini anajituma na haogopi kati ya madada wote mapaparazi niliowaona pale, hata sauti yake ina lafudhi halisia, kifupi hana makuu
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  hata mimi namkubali sana dada huyu.
   
 7. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  na mimi pia
   
 8. t

  testa JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hahahaaa...kanikosha juzi wakati akitoa taarifa ya matokeo ya awali ya baadhi ya vituo kule Arumeru alikuwa akiongea akiwa ndani ya mtaro baada ya usafiri aliokuwa akiutumia kutumbukia mtaroni
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  huyu dada anapenda kazi yake na anaijua pia. huyu dada ni jembe. anachapa kazi si mchezo halafu sio mnafiki coz anareport kitu kama kilivyo bila kuogopa boss wake wala serikali. hata kwa kumuangalia tu mumewe anafaidi sana. Umefika wakati aletwe kwenye a/c halafu na sembeye aende field tuone atareport nini kama hata acha kazi siku hiyo hiyo. big up sana mdada.
   
 10. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dada ninamkubali sana kuliko wote "nikiripoti kutoka hapa arumeru mimi ni ufuo saro wa itv........." i like it
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  nI KUMTAKIA HERI NA KUMSIHI ASIBWETEKE
   
 12. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tumtendee haki dada yetu,binti yetu ufooo Sarooooooooooo naomba picha plzzzzzzzzzz
   
 13. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Picha yake pls
   
 14. k

  kimamii Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dada yuko makini sana,keep it up
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  nimegoogle hakuna ki2,
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  picha nehi, haki gani naomba udadavuzi, je una maoni atendewe nini, mimi naona ni kumpigia chapuo aingie tuzo zza waandishi bora wewe je?
   
 17. collycool

  collycool Senior Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  [Hahahaaa...kanikosha juzi wakati akitoa taarifa ya matokeo ya awali ya baadhi ya vituo kule Arumeru alikuwa akiongea akiwa ndani ya mtaro baada ya usafiri aliokuwa akiutumia kutumbukia mtaroni]

  Aliyekuwa mtaroni ni Mwanaidi mkwizu na sio Ufoo Saro Mkuu
   
 18. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Ufoo ni huyo hapo kulia anayecheka sanaaa....
   
 19. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hahahahahehehehehehihihihihohohohuhuhuhu mnanifurahisha, kweli siri ya mtungi aijuae kata
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Mimi ni Goerge Maratoooo wa I.TEEE.VEEEEE!!...
   
Loading...