Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

Status
Not open for further replies.
Ila yule Mushi alikuwa amejiandaa kufanya massacre.. Nasikia alikutwa na shoka na tindikali pamoja na kamba na mifuko ya plastic..

Mi ninachoona Ufoo alikuwa na bahati sana, nadhani lengo lake lilikuwa kumuua usiku lakini pengine Ufoo hakusinzia hata kidogo.
Pengine alipanga kumuua kimya kimya then ajitundike ila ikawa zali kuhamisha kikao cha mgogoro kwenda kwa Mama Ufoo.
Jamaa alikuwa na mipango ya hatari mitupu kama Al Shabab. Bastola mbili kwenye mkoba, shoka, panga na kisu. Jamaa angetisha zaidi aiseeh.
 
=> Kweli kabisa....mapenzi ya kweli ni HATARI....mtu halali...hali...hasikii...haoni... presha iko juu....sasa ukute mchumba wake sasa wako miaka kamwambia basiiiii.....na anajua jamaa mwingine anakula mzigo......THIS IS VERY DANGEROUS.....few people understand what DANGER MEANS hadi itokee ndio wanashtuka.....

wivu ni ujinga we need to love not to possess, if she is not happy with you let her live her life and proceed with yours, wanawake duniani wako wengi na ile pepo ya wale jamaa zetu wenye munkari kuna mademu sabini nambili bikira wana macho kama vikombe, utagonga hadi uchoke mwenyewe.
 
Kweli Bongo bado hata Drip hamna utadhani mchezaji kwenye machela kaumia goti kumbe mtu kala risasi,,,Pembeni ya Nurse namuona Mtoto si ridhiki Sam Mahela.

Wewe brothel acha uxxng? wako! Kwa nini ku2kana watu kifala hivyo? Kama sam mahela aliwah kukupinda huo ni ugomv wenu, usitake kudhalilisha wa2 kwa kutafuta sifa. Mafala kama nyie ndio mnapelekea wa2 wauane kwa risasi. You're a notorious twit!
 
mama yangu ni super woman,wa pekee dunia nzima..mliobaki ni kama mashetani hamna dhamira,,,mtu anakupa kila kitu kuanzia moyo wake mpaka vya kidunia mwisho wa siku ni kumlipa dharau,,tena unashirikiana na mama yako..ndio maana siku izi ata wanaume hawawaoi sababu mnatisha,nyie sio viumbe wema.

Kumbe ndio maana mnaoana wenyewe kwa wenyewe siku hizi mmezidi!
 
eti diamond yuko busy na msiba wa mushi ndo maana hatupati info kutoka kwako. Hahahahaaa....desert yuko wapi? Kitambo sana sijaona post zake mpya. Ana mwenzake wa clouds anaitwa radhia sweety,hawa ni vituko.

atakuwa anashoot movie yake mpya na wema..........
 
Wakati mwingine ili dunia iwe mahali salama kwa kuishi, inabidi wanaume tuchukue maamuzi ya kiume kama haya ya bwana Mushi..ili somo liwafikie wengine kwa urahisi..just imagine mtu unajinyima, unamsomesha, unamtunza barafu wa moyo wako..kumbe upande wa pili anakuona ----, -----....BIG UP bwana Mushi..
COWARDS!
Somo limemfikia nani?
Hivi mnajijua mlivyo?
Kama ni usaliti nyie ndo vinara, uongo ni vinara..kila jambo baya mnaongoza.
Wanawake nao wanawaigine mnaona dawa chungu kumesa lol
 
Ninyi wanawake ni wambea sana, hamna dogo hata kidogo. Mnatuona sisi wanaume mabwege. Pesa nitoe mimi kujenga ujenge kwenu. "good job mr mushi. Lakini kwanini hukuhakikisha bibie anaondoka kabla ya kujitoa roho? Kosa kubwa sana hilo umelifanya" jirani yangu.


Ulishikiwa bastola utoe pesa?
Ulitoa kwa raha zako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom