Ufoo Saro na Violeth Mathias ni ndugu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufoo Saro na Violeth Mathias ni ndugu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pantheraleo, Nov 2, 2013.

 1. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Yule dada aliyepigwa risasi Arusha kwenye bank ya CRDB wakati akitaka kumpiga askari na Mtangazaji Ufoo Saro aliyepigwa risasi ya mgongoni kwenye mauaji ya mume wake na mama yake ni ndugu? Hata kama majina hayajafanana inawezekana hata kabila au wanapotokea ni sehemu moja.
   
 2. Billioness

  Billioness JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2013
  Joined: Jul 9, 2013
  Messages: 234
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Ha ha ha wanafanana ujaSIRI, labda ndugu.
   
 3. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mh! Halafu wote wa kaskazini,Arusha na Kilimanjaro watatujuza. Hata Ufoo nadhani yuko hapa.
   
 4. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2013
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Non-sense
   
 5. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2013
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 56,863
  Likes Received: 29,503
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha !!!! jamani
   
 6. H

  Howt Lady JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2013
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 1,491
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hahahaha unachochea eeh!! Mi simo
   
 7. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2013
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,045
  Likes Received: 4,007
  Trophy Points: 280
  mm naona hawana tofauti yoyote bila shaka wana uhusiano wa karibu kama sio ndugu walioshibana kumshikia askari police alie kwenye uniform silaha tena mbele ya raia wema sio jambo la mchezo mchezo ni sawa kabisa na yule mmachame aliemuua mushi akasingizia kajiua mwenyewe
   
 8. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2013
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,045
  Likes Received: 4,007
  Trophy Points: 280
  samahani...na wewe ni mmachame?
   
 9. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2013
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,293
  Likes Received: 3,537
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni ndugu
   
 10. M

  MAWERE JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2013
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  FIKIRI VITU VYA KUANDIKA HAPA ,THAT WHY WE CALL IT FOR GREAT THINKER...SEHEMU ZA MIPASHO NENDA HUKO FB HATUAONGELEI MAMBO YA WATU HAPA,WE DISCUSS CRETICAL ISSUES ..


  • "Any intelligent fool can make things bigger, more complex, and more violent. It takes a touch of genius -- and a lot of courage -- to move in the opposite direction
   
 11. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Wewe ndiye mmbeya na wa majungu. Panakuhusu nini hapa? Si uende huko kwa wasomi wenzako? Division 5 we!
   
 12. G

  Gamba la Chuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,247
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  MAWERE kakwambia ukweli.
  Hapa JF huwa hatupost majungu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mbona unamsemea? Samahanini kaka za hao ndugu wawili. Sikujua na nyie ni walewale.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. n

  ndesamburo kwek Senior Member

  #14
  Nov 3, 2013
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huu ndo U-GREAT THINKER?????!!!!!Tuache upuuzi kwenye uwanja huu wa kuelimishana na tuwe na uelewa wa kutosha.
   
 15. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  signature yako tu ni alama tosha ya hicho kizazi cha kina Ufoo Saro. Nyie oaneni wenyewe kwa wenyewe na mjimalize wenyewe kwa wenyewe. Ni upuuzi kutetea upuuzi.
   
 16. Sista

  Sista JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2013
  Joined: Sep 29, 2013
  Messages: 3,216
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mungu akupe hekima uwaze na kutoa yenye mashiko
   
 17. YouTube

  YouTube JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2013
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 923
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mkuu gisaka kwahiyo ndio hupokei simu zangu kabisaa:A S 100:
   
 18. pantheraleo

  pantheraleo JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 540
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Niandikie sms kwenye simu yangu. Naona jina la kihesabu halipo.
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,783
  Likes Received: 11,196
  Trophy Points: 280
  wastage of my time!! x'~
   
Loading...