Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

Sawa huo ni upande mmoja wa shilingi mapungufu mengine ni wachangiagi wenyewe,wengi wao wanazunguka mbuyu mno hadithi nyingiii mara kwenye vitabu vitakatifu badala ya kwenda kwenye point wengi hufeli mitihani sio kwasabu hawajui la hasha ila ni kukimbilia kujibu swali bila kusoma instructions swali linasemaje?? kwa upande wangu nao waliniboa sana.
 
Bavicha ni wepesi wa kutoa lawama sana wana sahau kama mtu akiruhusu watu kuropoka tuu mwisho wa siku ni rungu kwa kituo husika na kwa kipindi tulichopo kituo lazima kipigwe ban kiki ruhusu uchochezi!

Waropokaji watamchukia sana Ufo maana anajua kuwaweka kwenye mstari....

Watu wenyewe kama huyo POLIZEi wapo miaka nenda rudi, sizani kama ana plural opinion au jipya. Vijino pembe never miss. Mtu anaaanza sentense tayari umeshajua atamalizia ns maneno au ujumbe gani sansana mitusi na kuchafua hali ya hewa. Tumewazoea badilisheni ukumbi na jina la kipendi. Moderators sio lazima wawe waandishi wa habari per se.

Sawasawa!
 
bado kuna mtu anaangalia ITV wako chini ya kiwango kabisa
 
Ufoo Saro!! Hapo ni vyema akatoka maana Siku Mimi nikienda kushiriki akinizuia kuongea nitamzaba Kofi!!
 
ofoosalo nanfani wale wanao penda sifa za kuonekana kama yeye ndo master of ceremony very idiot anaharibu utamu wa malumbano
 
kuna mmoja anajiita sijui rais wa bao huyu jamaa ni gamba kila siku ni yeye tu kuchangia kwa nini wasiweke utaratibu tupate mawazo mapya? wabadilishe wachangiaji sio walewale kila siku mpaka inaboa
 
Kuna Utaratibu wa kushiriki..kama wewe una jipya siku wakitangaza mada omba kushiriki.. sio kulalamika tuu
 
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka Ufoo Saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.

Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.

Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.

Huyo ni kati ya watu wanaoamini bila kujipendekeza nchi hii huwezi kula
 
Bavicha ni wepesi wa kutoa lawama sana wana sahau kama mtu akiruhusu watu kuropoka tuu mwisho wa siku ni rungu kwa kituo husika na kwa kipindi tulichopo kituo lazima kipigwe ban kiki ruhusu uchochezi!

Waropokaji watamchukia sana Ufo maana anajua kuwaweka kwenye mstari....

Kwa mtu ambaye ana uelewa wa namna gani malumbano ya hoja yanapaswa kuendeshwa lazima utashangazwa na namna Ufoo Saro anavyoendesha kipindi. Lakini kama ni kihiyo lazima utaingiza siasa kwenye mada ambayo haijahusisha siasa.
 
Itv imwondoe haraka kuokoa kipindi. UFOO SARO Hana uwezo wa kuhimili hoja za kipindi. Jana nililazimika kuzima tv kwa sababu yake. Hafai KABISA .
 
Nakubaliana na watu wengi kuwa Ufoo anaharibu kipindi. Wachangiaji ni vizuri wakawa huru.
 
Kuna Utaratibu wa kushiriki..kama wewe una jipya siku wakitangaza mada omba kushiriki.. sio kulalamika tuu

Ni kweli, Hiki kipindi mfano cha jana wajumbe walikuwa wanatoka nje ya mada husika "VICHOCHEO VYA UVUNJIFU WA AMANI VINADHIBITIWA"

Wengine wananza maelezo marefu. Haya Huyo Police yeye anajiona kuwa anamjua sana Marehemu Mtikila; anatoa salamu za Rambirambi kwa familiya. !!!!! pale siyo sehemu yake alitakiwa kwenda msibani akatoe salamu za rambirambi. Changia mada iliyopo mbele yako.

Mwingine anaelezea kuwa iringa watu wanakodisha vijana kufanya fujo. Unatakiwa sema vinadhibitiwa na kama havidhibitiwi nini kifanyike na nani afanye ili kuweka hali ya amani tunapoelekea Uchaguzi.

Ndio maana Mtangazaji alikuwa akiona mtu anatoka nje ya mada au anatoa mifano ambayo haina ushahidi ndipo alikuwa anaingilila kati luweka sawa au kupokea kipaza sauti.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ufo ana saidia sana kuwa control na kuwarudisha wachangiaji kwenye mada pia ana zuia uropokaji ndio maana watu wanao penda kutopoka tuu watamuona mbaya!

Wakisema waache tuu wachangie bila kuthibitiwa ndimi zao au mambo yasiyo faa hakika ITV watakula rungu halafu hawa wanao muona Ufo mbaya watakuwa wakwanza kutoa lawama tena..
 
Sidhani kama kuna anayetaka malumbano yafanyike bila udhibiti, ila kinachopendekezwa ni kuwa na kiasi wakati wa udhibiti. Kutakuwa na maana gani ya malumbano ya hoja kama hutaelewa wachangiaji kwa sababu wanakatishwa katishwa ovyo!
 
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka Ufoo Saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.

Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.

Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.

Hivi huyu si ndiyo yule dada "Jinamizi la Talaka?" Pengine bado ana hasira, mwacheni akikuwa atajitambua.
 
Jamani kumbukeni kile ni chombo cha habari kinaongozwa na sheria + taratibu. Hatua ya kumkatisha mzungumzaji mapema ni nzuri na iyo inaotokana na maneno makali au jaziba wa uchangiaji.
 
Huyu dada yuko vizuri kwenye maeneo mengine angeeendelea na shughuli zake zingine ila kwenye hiki kipindi atolewe. Hakimudu vizuri.ITV FANYIENI KAZI HILI, NI KWA ROHO SAFI SIO KUTAKA KUMHARIBIA.
 
Back
Top Bottom