pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,087
ufoo anaboa sana utafikiri yupo kichama zaidi
Kile Ni Kituo Cha Hbr, Sio Kijiwe Cha Kahawa Au Midahalo Ya Taasisi Nyingine!! Pale WANAANDAA VIPINDI Kwa Mujibu Wa Sheria, Kanuni Na Taratibu Za Uendeshaji Wake KUANZIA Za Kituo Hadi Za TCRA!! So HAIWEZEKANI Kuwaachia WATU Kusema Vitu Ambavyo HAVINA Ushaidi Na Havijathibitishwa Na Vyombo Vyenye MAMLAKA Hayo!! Ukisema Watu Wanawaandaa Vijana Kufanya Fujo, Kwa Kuwanunulia BANGI!! Alafu Kituo Kiwaache Tu!! Kesho Yake TCRA WAJE Kukitoza Faini, Kukionya Au KUZUIA Kipindi Hicho!! Ndio Itakuwa Uhuru Wa Kuchambua Hoja Huo!!! Hiyo Nendeni STARTV, Ktk. Kipindi Cha AJENDA, Ambacho Kinaandaa Kipindi MAALUMU Na MTU MAALUMU Pia, Huyo Huyo!! Akisafiri Kipindi Kinaenda LIKIZO!! Sasa Kule Ni Kituo Chao, TCRA Hawatii Mguu!!!
Usikute Ndiyo maana alilambwa shaba na jamaa yake.
nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka ufoo saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.
Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.
Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.