bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,175
- 3,276
Huyo Mushi ni mpuuzi tu. Hata kama alizulumiwa nyumba bado haimpi kibali cha kuua na kujiua.
We ni lazima mmachame
Huyo Mushi ni mpuuzi tu. Hata kama alizulumiwa nyumba bado haimpi kibali cha kuua na kujiua.
Mbona anaficha chanzo ni nini....anamengi zaidi ya haya huyu
kama kaanzia katikati ivi..labda tusubiri kama kutakua na muendelezo utakaoturudisha nyuma/mwanzo wa tukio
MUHIMU:ndani tz jitahidi ufahamiane na polis 1.mwl 1,daktari 1,trafiki 1,mwanasiasa 1,bodaboda 1,jwtz 1,tiss 1,at least kila sekta jichanganye hasa upate wa cheo au nafasi za juu na namba zao za cm.iko ck isiyo na jina utaona umuhimu wake.KUMBUKA HII NI MUHIMU SANA KWAKO.
nikicheki hii habari sioni ni wakati gani Marehem mushi alijaribu kuchoma nyumba kwa kutumia gesi ya kupikia
Ufoo hawezi sema kweli,Yaani Mushi aseme tu bila sababu eti amefikia maamuzi haya,Ufoo anapondanganya itabidi atumie akili sana ili watu wasigindue uongo wake
risasi ya begani kwa mushi ilipigwa na nani?. nadhani Ufoo napaswa kupigwa pingu asitoroke. hakuna ukweli hapo. nadhani kilichotokea nyumbani kwa mama Ufoo ni kuwa Mushi alikuwa anajaribu kujiokoa- familia ya ufoo walipanga kumuangamiza.na inaelekea wao ndo walianza kumshambulia kwa risasi ya begani.