Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

ndio maana mama alisema nisimchumbie mmachame-roma
 
Duh! You know too much! Do you know the price of knowing too much?

ofcourse, ni hatari kujua kitu pekee yako, ila kama kinajulikana na wengi hamna hatari yoyote,

for your information vyombo vya habari vikireport habari wahusika wasiikanushe inamaanisha ni kweli

Watu mnashangaza sana. Mnamlaumu sana ufoo ataje sababu. Ili iweje? Hayo ni maisha yake na matatizo yake binafsi si lazima aitangazie dunia. Akipona atahojiwa na km anakosa atachukuliwa hatua vile vile.

Haijalishi source ya mushi kuchuchukua maamuzi km hayo ni nini. Mushi hakupaswa kuchukua uamuzi aliochukua no matter ufoo amemfanyia nini. Atakuwa ni chizi tu upstairs. Mwanaume unatakiwa ukabiliane na tatizo na ujue jinsi ya kukitatua. Lakini si kuua.

Mushi alikuwa na matatizo ya akili tu. Km alishachoka maisha angejifyatua yeye mwenyewe peke yake.
 
From Ufoo's family
 
Halafu, anasema alipita dada mmoja akamwomba kanga akajifunika.
Ina maana eneo hilo lina watu makatili sana...mtu amepigwa risasi 2, na anajiburuza na damu zinamtoka, bado huyo mdada aliishia kumpa kanga tu, na akaendelea zake na safari bila kufuatilia kulikoni mtu ana hali hiyo ya kutisha!!

Halafu, kama pale Tumbi aliweza kucommand daktari apigiwe simu, ilikuwaje asitoe taarifa za mkasa aliouacha nyumbani wa vifo vya watu 2 wakiwa wamelala sakafuni?
Mbona inaonyesha alikuwa na roho ngumu ya kutomwambia hata yule mdada aliyekutana naye, kwamba nyumbani kwao kuna msala?...hii imekaaje?

Mbaya zaidi inaonyesha huyu dada akiwa kwenye matibabu aidha anasoma magazeti au kubofya mitandao, maana anaonyesha kureact kwa watu anaodai wanataka kupotosha habari, kazi ambayo ni ngumu sana na kwavile hajapona sawa anaweza akajiongezea maradhi.

huyu mpalestina ni balaa ati
 
Watu mnashangaza sana. Mnamlaumu sana ufoo ataje sababu. Ili iweje? Hayo ni maisha yake na matatizo yake binafsi si lazima aitangazie dunia. Akipona atahojiwa na km anakosa atachukuliwa hatua vile vile.

Haijalishi source ya mushi kuchuchukua maamuzi km hayo ni nini. Mushi hakupaswa kuchukua uamuzi aliochukua no matter ufoo amemfanyia nini. Atakuwa ni chizi tu upstairs. Mwanaume unatakiwa ukabiliane na tatizo na ujue jinsi ya kukitatua. Lakini si kuua.

Mushi alikuwa na matatizo ya akili tu. Km alishachoka maisha angejifyatua yeye mwenyewe peke yake.
Ndugu mushi hayupo tunazungumzia lililopo ili tujue mbona mkali sana pande zetu nn!
 
Stori ina kasoro na kuzua maswali mengi sana! Sijui tatizo ni mwandishi au muhanga mwenyewe!

..nikiongezea maswali mengine... mfano twaambiwa U4 mara ya kwanza aliepa risasi ndipo zikampata mama yake! lakini wakati huo huo risasi ikampata chini ya bega! Chini ya bega ni kwenye kwapa?

MUSHI alipochomoa bastola hatuambiwi kama alimwelekezea mama mkwe wake, lakini twaambiwa mama mkwe aliamua kumvaa ili kumpokonya! Ina maana mama mkwe alishaamua liwalo na liwe! Yawezekana alijifyatulia mwenyewe kwa bahati mbaya wakati wa purukushani?!

Mama mkwe alipopigwa risasi U4 akakimbilia jikoni. Jiko liko nje au liko kwa ndani? twaambiwa alitambaa kwenye ardhi (siyo sakafu)..so U4 alikuwa nje alipopigwa risasi ya pili?

U4 alipigwa risasi "sehemu ya juu ya mgongo risasi ikatokea tumboni": sehemu ya juu ya mgongo ni shingoni?

Habari ya pingu na shoka na jisu zimeishia wapi? Hizo silaha zote MUSHI alitoka nazo Sudan au ziliwekwa kwenye gari wakati gani?

Mwanzoni tuliambiwa tukio lilitokea alfajiri, sasa twaambiwa ni usiku...

There is more to this than it meets an eye!
 
Mungu tu akusaidie dadangu,najua hauwezi kusema ukweli mwanzo mwisho utazikwa nao huo ukweli na hapa unatupa stress kwa story yako ya kufikirika.
Sijui niseme u jasiri au una roho ngumu,yaani unaona mamako anapigwa risas hata haukuonesha dalili ya kujaribu kumvamia mushi ila ukaweza kupigwa risas na kuendelea kukimbia na hadi kugeuka nyuma kuona jamaa anajipga risas ya wapi.
Kwahyo huyo dada alikupa tu kanga hakukusaidia kujifunga?uliweza kujifunga mwenyewe?Pikipiki plus maumivu makali bado ukaweza kujishkilia na ukaweza kubishana na nurse mpaka akampigia huyo dr simu?kweli una moyo wa kipekee
Bora ukae kimya tu na kujutia makosa yako

Mpalestina huyu ni balaa aisee
 
Watu mnashangaza sana. Mnamlaumu sana ufoo ataje sababu. Ili iweje? Hayo ni maisha yake na matatizo yake binafsi si lazima aitangazie dunia. Akipona atahojiwa na km anakosa atachukuliwa hatua vile vile.

Haijalishi source ya mushi kuchuchukua maamuzi km hayo ni nini. Mushi hakupaswa kuchukua uamuzi aliochukua no matter ufoo amemfanyia nini. Atakuwa ni chizi tu upstairs. Mwanaume unatakiwa ukabiliane na tatizo na ujue jinsi ya kukitatua. Lakini si kuua.

Mushi alikuwa na matatizo ya akili tu. Km alishachoka maisha angejifyatua yeye mwenyewe peke yake.

lazima atueleze sababu iliyomfanya mushi akachukua maamuzi magumu km hayo cuz haijawahi kuthibitika popote km mushi alikua au alishawahi kuwa na matatizo ya akili,kuna sababu tena ya msingi sana iliyompelekea ndg mushi akaamua kufanya hayo aliyoyafanya,siungi mkono alichojifanya mushi ila sipendi abebeshwe mzigo wote na kuonekana km ni mtu wa hovyo na asie na maana
 
Hivi hawa wanajeshi wetu wanaoenda nje huko kwenye peacekeeping missions/ vitani, wanaandaliwa kisaikolojia? Kuna mpango gani wa kuwa evaluate wakirudi kuhakikisha kwamba hakuna mental health issues kama Post Traumatic Stress disorder etc?

Au bado ugonjwa wa akili ni kichaa tu na mpaka mtu aokote makopo?
 
kwa simple analysis mushi alimshoot mama u4,uko akaanza kugombea bastola na mushi,ktk purukushani mush akamshoot u4
 
then u4 akatambaa hadi nje,akajikokota mdogomdogo hadi barabarani,kwakuwa anajua mama yake keshauawa na mushi,na yeye kummaliza mushi,akaconcetrace kwenye kupata msaada aokoe nafc yake
 
yote haya tunaassume,u4 alikaa jirani na mushi kwenye sofa moja wakimtazama mama u4 aliyekuwa kwenye sofa lingine...b4 mushi started the shooting
 
Pole sana Ufoo mimi nimekuelewa na wewe u mama shupavu. kilichonisikitisha umemsahau mama kwenye maelezo yako.
 
Back
Top Bottom