Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,490
- 2,730
Wewe una uhakika gani kama kamuua Mushi? Wabongo kwa umbea. Acheni vyombo vya dola vifanye kazi kwani kusikiliza maneno ya mitaani na kutoa hukumu siyo vizuri.Siri ya mauaji ni ngumu sana kuiweka siri na ipo siku Mungu ataufunua ukweli hata kama yeye hataki iwe hivyo
Lakini hata ndugu wa Mushi bado wapo na wanayasikia anayoyasema muuaji wa ndugu yao kwahiyo akae mkao wa kula pia
Hivi msongo wa akili si sawa na wazimu?
Si angetumia sheria na mabaraza? Japo umenishangaza leo kumtetea 'mzinzi' huyu alieishi na mwanamke bila kumuoa kwa miaka yote hiyo. Labda bidada ndo alijilipa mahari kwa mali?
Hauko mbali na ukweli. Haki ya mtu haipoteiHakuna cha siri, mlimzika fedha na mali zake alizokuwa akituma umjengee nyumba wewe ukajijengea mwenyewe na mama'ko. Na ukamsaliti na kutembea na wengine nae akitegemea u wake pekee.
Umemuumiza moyo. Kuna uwezekano mkubwa ni wewe uliyemuuawa na kisha ukajipiga risasi mwenyewe, hawa polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi wa kina. Itakuwaje aliyejiua awe na risasi mbili sehemu tofauti?
Mali uliyomzika huto ila kwa raha, itakutesa maisha yako yote.
Wewe una uhakika gani kama kamuua Mushi? Wabongo kwa umbea. Acheni vyombo vya dola vifanye kazi kwani kusikiliza maneno ya mitaani na kutoa hukumu siyo vizuri.
Kwa kumuua Mama yake Ufoo? au unataka kusema kuwa Ufoo alimuua mama yake?unaweza kukuta Mushi yuko mbinguni sasa
Faiza Faiza Faiza mswalie mtume we binti! Una uhakika gani na maneno uliyoandika hapa? Au kila linalosemwa na watu unalichukua na kulibebaba jinsi lilivyo?Hakuna cha siri, mlimzika fedha na mali zake alizokuwa akituma umjengee nyumba wewe ukajijengea mwenyewe na mama'ko. Na ukamsaliti na kutembea na wengine nae akitegemea u wake pekee.
Umemuumiza moyo. Kuna uwezekano mkubwa ni wewe uliyemuuawa na kisha ukajipiga risasi mwenyewe, hawa polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi wa kina. Itakuwaje aliyejiua awe na risasi mbili sehemu tofauti?
Mali uliyomzika huto ila kwa raha, itakutesa maisha yako yote.
Hata kama alidhulumiwa nyumba, solution ilikuwa kumuua mama mkwe na kutaka kumuua Ufoo ambaye ni mzazi mwenzie? Hivi kama kudhulumiwa nyumba ingekuwa ni sababu ya mtu kujiua, tujiulize ni WANAWAKE wangapi ambao waume zao wamefariki na ndugu za mume wamewanyang'anya nyumba na mali nyingine ambazo wanawake hao walichuma na waume zao lakini mbona hawakujiua???? Kuna njia mbalimbali za kudai haki hata kama itacheleweshwa kutokana na mfumo wa mahakama uliopo hapa nchini lakini siyo uamuzi wa kujiua au kuua!!! Kama ingekuwa ukidhulumiwa tu basi unaamua kuua au kujiua basi hizo kesi zingekuwa ni nyingi sana hapa TZ!!!Halafu kuqoute majirani ambao wamesikia tu kutoka nje siyo sahihiUshahidi wa kutumiwa fedha ni rahisi sana kuupata ukitakikana.
Uliona au ulisoma au kusikia wapi mtu anajiua kwa kujipiga risasi mara mbili sehemu tofauti?
Mushi alianza kumpiga Mama yake Ufoo, akampiga Ufoo na akijipiga yeyeCHA UMUHIMU ATUELEZE TU,KWA NiNi MAREHEMU ALIKUA NA MAJERAHA MAWILI YA RISASI. MAANA ANAE JIUA HAJINYONGI MARA MBILI WALA KUJIPIGA RISASI MARA MBILI. NANI ALIANZA KUMPIGA MWENZAKE RISASI??????
Bahati mbaya kuna nafasi moja tu ya kusema LIKE!!! Sielewi kwanini watu wameacha mambo mengine na kutafuta umbea wa kujua kilichowagombanisha hawa watu utadhani wao wakikorofishana na wake au waume au wapenzi wao wanaweka hapa JF!!! Kama kuna lolote polisi watataka kujua kuhusu mkasa huo sharia na taratibu zitafuatwa na siyo kumlazimisha Ufoo aseme hapa JFSwali la kwanza nimekuuliza wewe sababu unalazimisha kwamba ufoo alimtapeli mushi nyumba! Na wengne wenye mawazo kama yako mtoe majibu yakuthibitisha hizo acussations toward ufoo!
Kwan wewe si mmachame? Wewe ni wa wap? Nadhan nimeshakujibu hilo!
Wewe kila kinachotokea chumbani na mumeo huo unapeleka kwenye press? Kwanin unalazimisha mambo binafsi ya ufoo ayaweke hadharani? Na hata aliyosema ushasema ni uongo so hata akisema utamuamin kwa hiyo attitude uliyomjengea?
Mushi alianza kumpiga Mama yake Ufoo, akampiga Ufoo na akijipiga yeye
Kitu nashindwa kuelewa Mushi alijipiga risasi chapu chapu bila kuwa na hakika kama UFO zimempata alizompiga?!!! au ufo lishambuliwa na nani? maana nashindwa kuelewa kwamba Mushi ajipiga mbili bila ya kuwa na hakika kwamba aliyompiga Ufo imefanya kazi.
Huyo dada wamuweke kwenye kiti cha UMEME atasema tu kilichotokea, nchi nyingine zote huyo dada asingekuwa mtaani ili MIKONONI mwa polisi mpaka pale atakapo safishwa na upelelezi. kwanza ni nani alitoa habari kwamba shambulizi lilifanywa na MUSHI? na kwa nini imeaminika kwamba ni Mushi ndiye alifanya shambulizi?
Vipi kuna polisi report ya ili tukio? ni vyema tulio hali tukaipigia upatu hii kesi kama haujawa mchezo wa kila siku, hii habari ya polisi kutofanya kazi kwa makini na kutoa report ndio matokeo yake haya,
Mushi alikutwa na hiyo sihala je hakuna finger print za mtu mwingine kwenye hiyo siraha? kuna maswali yaulizwe majibu yatapatikana tu
unaweza kukuta Mushi yuko mbinguni sasa
Soma swali uliloulizwa vizuri! Alijipigaje risasi mbilna kujiua? Kwa kawaida na kwa risasi jinsi zilivyoingia kwenye mwili ambao ni kichwa cha Mushi,alivyojishuti risasi ya kwanza tu,ilitakiwa aanguke na bastola yake iangukie mbali na mwili wake! Sasa umeulizwa risasi ya pili alijipigaje?Mushi alianza kumpiga Mama yake Ufoo, akampiga Ufoo na akijipiga yeye
Mahakama ya global publishersKaapa mahakama gani?
Teh teh teh teh..inawezekana ya mushi imewahishwa aiseeeJudgment Day tayari kwani?
Faiza Faiza Faiza mswalie mtume we binti! Una uhakika gani na maneno uliyoandika hapa? Au kila linalosemwa na watu unalichukua na kulibebaba jinsi lilivyo?