UFISADI wa ZADOCK na ofisi ya Meya KIMBISA

UFISADI wa ZADOCK na ofisi ya Meya KIMBISA

ZADOCK ni nani? mbona mnaleta majina hapa ambayo hayajulikani? anajihusisha na nini huyu mtu?
 
Mkuu nguzo ya kuangushwa na pikipiki na anategemea kuweka mabango...............Hii haiwezi kuwa serious
 
Mambo niliyokuwa nayaongelea haya hapa

Nguzo zenyewe hizi hapa...from michuzi blog

sasa pale tatizo ni nguzo au engineering?? Maana sijaona imevunjika au kupinda, mimi naona kama imeng'oka
 
unajua ukienda kule Mwenge ile bara bara ya SAM NUNJOMA usiku utafikiri uko SHANGHAI kwa jinsi ilivyopendeza taa zote zina waka kasoro kipande cha Milimani City -Mwenge ...halafu ukitazama taa za anazoweka FISADI Zadock huku bara bara ya Airport-Bibi titi ushavu na vichekesho vitupu

I mean its a disgrace...hapo bado sijaongelea lile MTARO mbele ya HAIDERY PLAZA na yale maji machafu kwenye mtaro wa Petrol station ya posta mpya
man mgeni dar au umekuja zamani....pita saa hii utaona ile bara bara niliuliza kama ilijengwa na jamaa wa VETA jinsi ilivyo hovyooo.....usiku taa haizwaki arifu....zinasua sua...kwente taa za mwenge umeme ukikatika nazio haziwaki..na walisema zinatumia solar.solar gani umeme ukikata na zenyewe zinakata aisee??

About ZK aisee jamaa sijui...iknw is among of fisadi kama ma don wengine hapa town ila jamaa ninavyosikia zile taa kule uzunguni kaweka bure hajaingia mkataba.Sina hakika lakini.......
 
Nguzo kanjanja na muweka nguzo kanjanja na mradi wenyewe kanjanja!

That is the best description bro!!! But it is not unexpected kwa nchi yetu amabyo kuanzia rais mpaka raia wote makanjanja tu!!! Tunashabikia siasa za majitaka na kuacha rasilimiali zetu ziliwe kilaini
 
About ZK aisee jamaa sijui...iknw is among of fisadi kama ma don wengine hapa town ila jamaa ninavyosikia zile taa kule uzunguni kaweka bure hajaingia mkataba.Sina hakika lakini.......

Mkuu Jamaa kaweka taa zile bure ndiyo lakini huo ndiyo mkataba wenyewe, anaweka taa za mitaani ambazo anazitundika matangazo na in return halipi kodi manispaa, kitu full free, nyundo 10.

Mkuluu hali yake tete kauza 50% ya billboards zake za A1outdoor na Zain ambaye alikuwa ndiyo main client wake katika advertising agency yake ya ZK wamekata advertising spend by 50%...msitegemee kuiona Dar Village anytime soon...tumuombee tuu mjasiliamali kijana mzalendo.

MJ
 
zadock is a terrorist !!!!!!!!!!!!he is terrorising every one in the city tenders...his lifestyle is absurda nd one day he will firisika you'll see.............
 
we acha tu nasikia ndio yeye kapewa tenda ya kituo cha mwenge...wananchi embu lifwatilien na hili...
 
Back
Top Bottom