Ufisadi wa Nape huu hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan fwa fwa fwa yaaan zero yaan yule kiumbe alizungusha yaan ( In gwajima voice)
 
Nimefurahia sana uandishi huu jamani. Dah! Kweli hata Zero ukimpa unaionea hiyo Zero. Akili mufilisi kabisa
 
Mmmh pigeni mayowe tu ila dawa yenu ipo,na kuna sk mtajua maana yake
 
Huyu ni Makonda yupi ? Huyu Bashite wa Koromije au ? Uandishi wake unaakisi kile wanacho mwandama nacho
 
Bashite hata kuandika hajui nahisi hata darasa la pili alifoji matokeo akaingia darasa la tatu kwa magumashi.
 
Hivi inamaana hunu jf hakuna hata mtu mmoja aliyesoma naye darasa moja huyu zero!
 
Mheshimiwa Ndio wewe ulieandika huu mwandiko au hii account ilidukuliwa?
 
kikulacho kinguoni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…