singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kinachotakiwa sasa ni maamuzi sio hizi figisufigisu tena
Mambo ya ubinafsishaji yana hitaji busara na utaratibu za kisheria kufuatwa. Kuvunja mkataba ni lazima kuangalia ni kwa namna gani na kwa vipengele vipi utakavyovitumia kusitisha hiyo mikataba.
Kwenye maandiko ya miradi kulikiwa na vipao mbele ambavyo Wawekezaji wangevitimiza lakini kama ilivyo kwenye sheria huna upande wa pili. Serikali ikikurupuka itaishia kulipa fidia bila faida yoyote. Ikitumia ubabe inaweza kufikishwa kwenye
Muda wa maneno uishe vitendo vifanye kazi hakuna asie jua namna hawa wawekezaji wanavyo yatumia hayo mashamba kupata mikopo na inaenda kufanya kazi nyingine badala ya makusudio.Kinachotakiwa sasa ni maamuzi sio hizi figisufigisu tena