Ufisadi wa Kifo Vipimo vya UKIMWI

nionavyo mimi kwa wale ambao wameshagonga ni kuwaacha bila ya kuwapa dawa za kurefusha maisha ili wafe mapema waache kuambukiza wengine maana ukiwasikia wenyewe wanavyojisifia ati ni lazima waondoke na wengi.kwa hiyo bomu tunajitengenezea wenyewe. Maana angalia hata wakishameza zile dawa wanavyonawiri na wengine wamediriki kuniambia ati nguvu zao za kungonoka zimekuwa mara dufu baada ya kumeza dawa za kurefusha maisha. Sasa hamuoni ni hatari hii? Hakuna wakati mgumu kwa waafrica ktk dunia hii kama sasa, lakini cha ajabiu wenyewe hawajali ni lazima wajue janga hili ni kubwa kuliko vita zote kuu tatu zilizopita za dunia.

major (or meja... Whatever it is)

nakuonea huruma ndugu yangu, nimekusoma na ninahisi kwako wazungu ni hadhi ya juu na unawaamini. Lugha uliyotumia, title uliyoweka na kadhalika... Pole sana kwa utumwa mamboleo

kuna ukweli kiasi fulani kwamba baadhi yetu hatuthamini ndoa ... Sababu ni nyingi mno ikiwamo ya stage ya maendeleo tunayopita inayotukuza vitu na si utu (soma sana historia ya maendeleo ya binadamu kuanzia ujima na kuendelea na hata kwenye social science and human development. Hali tuliyopo ni ya mpito

kwa upande mwingine, wazungu si mfano wa kuigwa hasa kwenye masuala ya family na morals, wana bahati sana hiv virus (all types) inaji-attach kwenye negro cells mara sita zaidi ya wao (yaani risk ya kupata ukimwi wewe (kamwa kweli ni mweusi) ni mara sita zaidi ya mzungu mweupe

kusuhu kuacha kuwapa dawa ndugu zako eti wafe; ni ujinga wa hali ya juu hasa kama mtu anaelewa dhana ya quality of life + benefits of having all youths katika hali nzuri kujenga taifa letu. Nahisi hata hilo wazo umelitoa italia. Jiulize wazungu wangapi wako na hali mbaya kiafya na ingharimu dola nyingi kuwaweka kwenye machine, umeshasikia wazungu wakisema waachwe wafe?. cha maana kwa waathirika wanaosambaza ni kuwatangaza na kuacha anayeamua kufanya nao ngono ajue yuko pale at own risks, itasaidia uelewa wa ukimwi na athari kwa maendeleo na familia itaondoa pia unyanyapaa kwani kuna hata watu muhimu nchi hii wako kwenye dawa


wazo: Fanya research kabla ya kutoa mawazo ya kuacha kuwapa dawa nduguzo ...eti kisa mtaliano kakuchangaya... Sijui hata mlitokana nae wapi
 
Tusiandike na mate wakati wino uko. Ukimwi utatukomesha Waafrica. Nanai katika nyie hapa hana ndungu walishaondoka na umeme. Kwanza tannzania hakuna mtu anaekufa na ukimwi wote wanasema wamelogwa au ugojwa gani tena ule shinikizo la damu au kisukari blaablaa.
 
Tusiandike na mate wakati wino uko. Ukimwi utatukomesha Waafrica. Nanai katika nyie hapa hana ndungu walishaondoka na umeme. Kwanza tannzania hakuna mtu anaekufa na ukimwi wote wanasema wamelogwa au ugojwa gani tena ule shinikizo la damu au kisukari blaablaa.

Hakuna aliyekataa kuwa ukimwi si tatizo Afrika,kila mmoja wetu hapa kwa namna moja ama nyingine ameathirika na hili tatizo

Suala hapa ni je alichokisema huyu muitaliano anauthibitisho nalo,does he has any scientific proof? mtu kama huyu hatoishia kumwambia tu huyu rafiki yake mtanzania,fahamu analiongea hili hata kwa wengine,with that fake statistics.

are you happy about that?
 
hakuna aliyekataa kuwa ukimwi si tatizo afrika,kila mmoja wetu hapa kwa namna moja ama nyingine ameathirika na hili tatizo

suala hapa ni je alichokisema huyu muitaliano anauthibitisho nalo,does he has any scientific proof? Mtu kama huyu hatoishia kumwambia tu huyu rafiki yake mtanzania,fahamu analiongea hili hata kwa wengine,with that fake statistics.

Are you happy about that?

hanks shejele

...kinachouma ni hizo kind of statements bila statistics [kama ya mtaliano]! Hakuna aliyepinga ukimwi ni soo, lakini sweeping statements kwenye masuala ya jamii si vizuri
 
Kimsingi hii thread ipelekwe inakostahili, haina mafungamano na sehemu hii. Mods tafadhali..
 
Hii ilikuwaga TBT nawaza haya yangetokea enzi ya magu cjui hao waliotishia kuweka sumu wangekuwa wap sahii
 
Back
Top Bottom