Jason Bourne
JF-Expert Member
- May 11, 2011
- 200
- 438
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.
Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.
Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.
Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.
Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.