Ufisadi umetokea awamu zilizopita wakati mkataba umesainiwa June, 15, 2021?

RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa tenda ya ujenzi wa meli 5 kwa kampuni ‘hewa’.

Maamuzi ya Rais Samia leo Dis. 4 yanafuatia uchunguzi wa kina uliofanywa na timu maalumu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa kampuni ya Uturuki, YÜTEK iliyoshinda tenda kujenga meli tano za abiria na mizigo za kampuni ya Meli nchini.

Dau hili lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Rais Samia. Hata hivyo timu iliyohusisha wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Askari kutoka kikosi ya wanamaji, na wataalamu kutoka MSCL ilibaini kuwa YÜTEK haikuwa na uwezo wa kifedha wala wataalamu kutekeleza mkataba huo.

“Nimeagiza Waziri na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuvunja mkataba huo… hata hivyo uwezo wangu ni kuvunja bodi hivyo wenyeviti wote wawili nimewaondoa,” alisema Rais Samia wakati akizindua maboresho ya gati za Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Samia amesema mkandarasi huyo alikuwa ameweka wakala nchini aliyekuwa anufaike kati ya Dola za Marekani milioni 1.9 hadi 2 kwa kila meli itakayo jengwa.

Kwa mujibu wa taarifa ya uchunguzi, Mkandasi huyo hana eneo la kujenga meli (shipyard) badala yake wao ni madalali wa kutafuta kazi na kutoa kwa kampuni zingine. Pia ilibainika kwamba uwezo wa kampuni kifedha ni mdogo mno.

Wasifu na uwezo wake katika ujenzi ni wa mashaka kwani haipo hata kwenye orodha ya wajenzi wa meli inayotolewa na umoja wa wajenzi wa meli Uturuki. “Hili ndio liliotuthibitishi kwamba hawa ni madalali. hawakuwa na watu wenye sifa na vifaa vya kujenga meli. hadi sasa kampuni hiyo haijafanya lolote,” amesema Rais Samia.

Mkuu huyo wa nchi amehoji ikiwa uwezo wa kampuni hiyo ulikuwa ni kutengeneza boti ndogo.

“Tujiulize tenda hii ilitolewa na bodi husika ya wizara ama shirika. Shirika linabodi ya wakurugenzi ambao wamepitisha tenda hii lakini pia mkandarasi alifanyiwa due diligence. Sasa haya tumeyabaini hivi karibuni, huko nyuma yametokea mangapi?” alihoji nakutaka tenda bodi iliyohusika, bodi ya wakurugenzi kuwajibishwa.

Chanzo: Habari leo
Na bado mambo bado. Kazi iendelee. Ndipo watajua kuwa hawajui. Zimwi la uchafuzi wa 28/10/2020 litaendelea kuwaandama.
 
Ninyi ni watamu kotekote.Ni suala la muda tu kwa sababu dhuluma haijawahi kushinda haki.

Mnajua na ulimwengu mzima unajua kuwa Mbowe siyo gaidi.Kwa kuwa hamtuwezi majukwaani basi kimbilio lenu ni kwenye vyombo kandamizi vya dola.

Mungu siku zote huwa yupo upande wa haki na kwa hiyo yupo upande wetu.Mungu akiwa upande wetu nani atakuwa juu yetu?

Narudia tena,ninyi ni watamu kotekote na ni suala la muda tu.
View attachment 2033529
Sasa magufuli legacy na huyo mjambiani tuna uhusiano gani ugaidi wa mbowe mmalizane wenyewe na mama yenu simlikuwa mnamsifua majuzi tu mmesha sahau
 
Haya makampuni tunayoyapa kazi lazima tujue ni yawatu wenye akili kubwa,ulaghai wahadhi ya kimataifa hivyo wawe wakitumwa wataalamu ubalozini tens upande zote ili kwenda kujiridhisha kabla.
Haifai kuionea bodi na wenyeviti wao hata kidogo
Hapo tumepigwa lkn hatujiongezi kumtaka balozi wa uturuki hapa nyumbani na wakwetu Kyle kwao kutafuta ukweli wooote kuhusu makampuni ya kituruki yaliyopo yanayofanya miradi hapa nchinin hiyo iwe kwa balozi zooote. Sijui tunaujinga mkubwa kiasi gani mpaka tunapigwapigwa hivi.
 
Ndiyo maana magufuli alikuwa hana rafiki hata kama zabuni ilitangazwa wakati wowote ufisadi ni ufisadi tu kwanini mama asichukue hatua ? Tena ukizingatia zabuni ilifanyika kabla ....hii ndiyo tofauti ya REAL PRESIDENT NA RAISI KANJANJA,Magufuli alikuta zabuni kibao mbovu wakati wa kikwete kazi vunja ,kakuta mikataba ya kifisadi ya bandari ya bagamojo kavunja ,sasa mama anangoja nini kumtumbua january na kuivunja hiyo mikataba ya kifisadi,...mbona anapiga mayowe tu raisi wa namna gani huyu
Subirini sindano iwangie nyie mliopewa kazi kwa njia za panya na bado sana mama kawabrmbeleza saaana
 
Sasa magufuli legacy na huyo mjambiani tuna uhusiano gani ugaidi wa mbowe mmalizane wenyewe na mama yenu simlikuwa mnamsifua majuzi tu mmesha sahau
Magufuli legacy my ass!🚶🚶🚶
20211203_191444_temp.jpg

Maovu mliyofanya CCM na ambayo mnaendelea kufanya wananchi wa Tanzania wanayajua na ulimwengu unayajua yote.Ni suala la muda tu mtakuwa watamu kotekote.
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa tenda ya ujenzi wa meli 5 kwa kampuni ‘hewa’.

Maamuzi ya Rais Samia leo Dis. 4 yanafuatia uchunguzi wa kina uliofanywa na timu maalumu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa kampuni ya Uturuki, YÜTEK iliyoshinda tenda kujenga meli tano za abiria na mizigo za kampuni ya Meli nchini.

Dau hili lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Rais Samia. Hata hivyo timu iliyohusisha wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Askari kutoka kikosi ya wanamaji, na wataalamu kutoka MSCL ilibaini kuwa YÜTEK haikuwa na uwezo wa kifedha wala wataalamu kutekeleza mkataba huo.

“Nimeagiza Waziri na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuvunja mkataba huo… hata hivyo uwezo wangu ni kuvunja bodi hivyo wenyeviti wote wawili nimewaondoa,” alisema Rais Samia wakati akizindua maboresho ya gati za Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Samia amesema mkandarasi huyo alikuwa ameweka wakala nchini aliyekuwa anufaike kati ya Dola za Marekani milioni 1.9 hadi 2 kwa kila meli itakayo jengwa.

Kwa mujibu wa taarifa ya uchunguzi, Mkandasi huyo hana eneo la kujenga meli (shipyard) badala yake wao ni madalali wa kutafuta kazi na kutoa kwa kampuni zingine. Pia ilibainika kwamba uwezo wa kampuni kifedha ni mdogo mno.

Wasifu na uwezo wake katika ujenzi ni wa mashaka kwani haipo hata kwenye orodha ya wajenzi wa meli inayotolewa na umoja wa wajenzi wa meli Uturuki. “Hili ndio liliotuthibitishi kwamba hawa ni madalali. hawakuwa na watu wenye sifa na vifaa vya kujenga meli. hadi sasa kampuni hiyo haijafanya lolote,” amesema Rais Samia.

Mkuu huyo wa nchi amehoji ikiwa uwezo wa kampuni hiyo ulikuwa ni kutengeneza boti ndogo.

“Tujiulize tenda hii ilitolewa na bodi husika ya wizara ama shirika. Shirika linabodi ya wakurugenzi ambao wamepitisha tenda hii lakini pia mkandarasi alifanyiwa due diligence. Sasa haya tumeyabaini hivi karibuni, huko nyuma yametokea mangapi?” alihoji nakutaka tenda bodi iliyohusika, bodi ya wakurugenzi kuwajibishwa.

Chanzo: Habari leo
BADO ule mkataba wa tannesco na magabacholi
 
Mkurugenzi wa TPA kwanini abaki Ofisin
 
JPM aliwakilisha na kusimamia ajenda kubwa sana ya kurudisha nchi kwa wananchi, mbegu aliyoipanda haiwezi kufa kirahisi!
Tunakosea tunavyojaribu kupambana nae as if yeye alikua mmiliki wa hiyo ajenda kubwa wakati yeye alikua msimamizi tu!
Kifo chake kimefanya nchi iponyoke kidogo tu kutoka kwenye mikono ya wananchi lakini ni kitambo kidogo itarudi.
WE WILL RISE AGAIN!
 
Nafikiri watu waliomzunguka Mh Rais wanashindwa kumsaidia. Kuanzia handling ya mpango wa kumchafua JPM, mfumuko wa bei usioeleweka! Matatizo ya maji na umeme! Kesi ya Mbowe ya kubumbabumba! Zinambomoa mama kuliko kumjenga.

Hii awamu ya sita hawatoweza kumbomoa JPM wakaeleweka na umma kwasasa, wadeal na issue zao hesabu 2025.
Mbona mwizi wa sh.tril.2 aka JPM ameshabomolewa muda tu na sasa ameoza tayari,au ww uko nchi gani?

JPM is died,burried and decayed !
 
Back
Top Bottom