Namwomba pia mtoa maada hii atushawishi kuwa kutomhusisha Kikwete na IPTL sio uzushi na kuwa sisiem haikumbatii ufisadi.
Mtoa mada katumwa na CCM na nadhani ana mtindio wa ubongo.Hivi kweli mtu mwenye akili timam unaweza ukainasua CCM na ufisadi?Kama unaona hilo linawezekana basi ujijue akili yako inamatatizo.
Kingunge amekwishasema hawaendi Butiama kutubu wala kuwavua mafisadi uanachama,sasa kama sio CCM kukumbatia mafisadi ni nini.Halafu mmemwita Prof Ndulu Butiama hivi ccm mmekua ndio kamati ya uchunguzi wa EPA?CCM mmeoza huo ndio ukweli hebu oneni aibu kuja kifua mbele eti you are so clean,taifa la leo sio taifa la jana,jamani tunamacho na tunasikia.
Zefania wewe ni kibaraka wa ccm,na kama umetumwa usije hapa JF kama huna nyimbo za kuimba.Mbona mnatufanya wajinga wakati akili tunazo na shule tunazo,WE ARE NOT FOOL
Hayati Horace Kolimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM kuanzia Oktoba, 1990 hadi Novemba, 1994, hakuwahi hata siku moja kusafiri hadi Malaysia ili kwenda kufanya majadiliano ya awali wala ya mwisho ya kuiomba nchi hiyo itazame inavyoweza kutusaidia kuondokana na tatizo la umeme. Ni uchanga wa kufikiri iwapo siyo ufinyu wa mawazo kudhani kwa namna yoyote ile kuwa Katibu Mkuu wa CCM anaweza kwenda nje ya nchi iwe ni Malaysia, Indonesia, Russia na kadhalika kutafuta suluhisho la matatizo ya umeme wakati kuna TANESCO na wizara inayoshughulikia mambo yote yanayohusu sekta hiyo.
JF members always against CCM.
Mkuu huu ni uongo wa mchana, Marehemu Kolimba alikwenda Malasyia akiwa waziri wa mipango under Mwinyi, na kupokewa kama mfalme na magarti mengi ya aina ya limousine, kwenye msafara alifuatana na ofisa wetu mmoja kutoka ubalozi wetu wa mmoja wa majuu, ambaye kwa maneno yake ni kwamba it a a big shock kwake kuona Kolimba anapokewa kifalme, alikuwa akijiuliza for a longtime why? mpaka alposikia habari za IPTL ndio akaakumbuka ile safari kuwa ndiyo iliyokuwa chanzo cha huuu mchezo.
Mkuu wangu Mtambo,
Maneno yako si kweli na sio ya ki-demokrasia ni haki ya wananchi kuamini itikadi wanayotaka na kuitetea kwa nguvu zao zote, sio kuvunja sheria, bunge letu lina wabunge wangapi wa CCM na upinzani? Kilichoharibika ni nini wakati CCm kila siku hupitisha miswaada wanayotaka na hatusikii upande wa pili wakilia lia, sasa kwa nini CCM hapa JF tulie lie!
Ndio demokrasia mkuu, kwa wale tunaoamini kuwa sio CCM yote ni mbovu ila tu baadhi ya viongozi wetu, tunahitaji kusimama hapa kidete kutetea tunachoamini bila ya kujali idadi ya upande wa pili, achana na watu hapa mkuu, jibu hoja tu kama unayo on the ishu, hapa ni hoja tu ndiyo husimama regrdless kuna watu wangapai upande wa pili, lakini one thing hatuwezi kulaumu kwa nini wapinzani ni wengi sana hapa au hiii forum ya wapinzani, then utakuwa unasema kuwa bunge letu basi ni la CCM, No mkuu weka hoja let the chps fall where they may, lakini forget about idadi ya wanaopinga.
Ahsante Mkuu!

Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya. Kwa mfano wana CCM kuweka mashada ya maua katika kaburi la aliyekuwa mwasisi wa chama hicho imekuwa nongwa hapa JF.
Nakubali kabisa kwamba kuna mambo mabaya yanayofanywa ama yaliyofanywa na baadhi ya wanachama wa CCM, lakini si vyema kuwahusisha wana CCM wote katika ubaya huo. Upotevu wa pesa za EPA umehusisha watu toka vyama tofauti ndani na nje ya Tanzania, lakini lawama zote ni mzigo wa CCM. Kukosoa ama kulaumu kwa ajili ya kufuata mkumbo si kitu chema. Kama huna uhakika na kitu ni bora na ni hekima sana kukaa kimya ili ujifunze.
Hakuna jambo lolote zuri lililofanywa ama linalofanywa na CCM limeandikwa hapa ila ni mabaya tupu na ni imani yangu 110% kwamba CCM haifanyi mabaya tu bali ina mambo mengi mazuri pia inayafanya. Shillingi haina upande mmoja tu ina pande mbili, na kama ina pande mmoja basi hiyo si pesa tena.
Wengine tunatumia Credit Card, hivi nayo ina pande mbili?
We hujiulizi iweje pumzi ya mdomo ikapuliza moto kuukoleza kisha pumzi hiyo hiyo ikapuliza kuuzima?
SISIEMU ni kama pumzi ipulizayo.
Viongozi wa SISIEMU ni wazuri kwa umbo tu.
Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya. Kwa mfano wana CCM kuweka mashada ya maua katika kaburi la aliyekuwa mwasisi wa chama hicho imekuwa nongwa hapa JF.
Nakubali kabisa kwamba kuna mambo mabaya yanayofanywa ama yaliyofanywa na baadhi ya wanachama wa CCM, lakini si vyema kuwahusisha wana CCM wote katika ubaya huo. Upotevu wa pesa za EPA umehusisha watu toka vyama tofauti ndani na nje ya Tanzania, lakini lawama zote ni mzigo wa CCM. Kukosoa ama kulaumu kwa ajili ya kufuata mkumbo si kitu chema. Kama huna uhakika na kitu ni bora na ni hekima sana kukaa kimya ili ujifunze.
Hakuna jambo lolote zuri lililofanywa ama linalofanywa na CCM limeandikwa hapa ila ni mabaya tupu na ni imani yangu 110% kwamba CCM haifanyi mabaya tu bali ina mambo mengi mazuri pia inayafanya. Shillingi haina upande mmoja tu ina pande mbili, na kama ina pande mmoja basi hiyo si pesa tena.
Wengine tunatumia Credit Card, hivi nayo ina pande mbili?
.
Mkuu Es umesema yote vyema kabisa .Unajua kikwetu mtu akiitwa mtambo means Kichaa .Na huyu jamaa inawezekana anatokea kwetu na kachukua neno na maana halisi ya Mtambo so tuwe makini .Hoja zako ES ni nzito na sina la kuongezea .Ila Kolimba alienda kama waziri na si kama Katibu Mkuu wa Chama .
Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya.
Mkuu wangu, haya yasikupe taaabu cha muhimu ni kusimamia ustaraabu, mimi binafsi ni CCM damu, na sina tatizo na mashambulizi mengi ya humu JF kwa CCM, kuna machache ya ukweli, lakini mengi ya uongo, na mengi ni chuki binafsi kutoka kwa washambulizi wakiwa na sababu mbali mbali za binafsi,
Kuna waliokuwa marafiki wa viongozi hao hao wa CCM, lakini wakaishiwa kutemwa, sasa hao huwa wana chuki sana za binafsi, na kuna waliokuwa waajiriwa na wavutwa mikono na baadhi ya viongozi wa CCM, lakini wakaishia kutemwa, sasa hawa huwawezi wao ni kushambulia tu na maneno ya hasira sana, halafu kuna wanaojaribu ku-break through yaaani kuingia ndani ya CCM kwa kutumia mashambulizi mazito kwamba huenda wakaonekana kuwa ni threat na kukubaliwa, pia kuna wanafiki ambao kila siku hushinda na viongozi hao hao wa CCM, na kuja hapa kuwadanganya wengine kwa kujifanya ni wapinzani nambari moja,
Halafu, sasa kuna kundi kubwa la bendera fuata upepo, yaaani hawa wapo tu kusema amina kila analosema fulani, hao ndio wengi sana, na huwa wana majina mengi sana, sometimes mpaka ishirini, kuna mmoja anayo kama 30 hivi, hawa hufuata upepo wakiona upepo unabadilika ni wepesi sana kujibadilisha kwenye majina na kuwepo tena kwenye upepo ulipobadilikia, halafu huwa wana matusi sana au lugha za choooni, wewe utaona majina yanabadilika tu lakini maneno mabovu ni yale yale tu,
Kwa hiyo mkuu Mtambo, hiii hapa Jf ni demokrasia at work, kila mtu anruhusiwa kuwa mtu au mwananchi, sasa cha muhimu kwako ni kujua kwanza mazingara uliyomo, kuwajua unao-deal nao, then ku-adjust na wewe ili u-fit in, lakini pamoja na yote hayo ni muhimu kuhakikisha kuwa unawapa heshima wale wote wanaojiheshimu hata kama wana misimamo tofauti na yako, kwa sababu kuna serious people ambao wapo hapa kwa ajili ya one thing only, yaaani kulijadili taifa kwa makini, nawajua maana hawazidi 15, halafu sio lazima ujiingize kwenye kila ishu, mimi huwa nachagua ninayoifahamu kwa makini tu, zingine huwaachia wanaoziweza, kwa hiyo mkuu Mtambo, CCM ni imara, ndio tuna matatizo ya kuwa na baadhi viongozi wachache wasiofaaa, lakini pole pole tunawatosa na safari bado ni ngumu sana, lakini mkuu usichukulie mambo kwa hasira au tooo personal, hiii ni demokrasia tu at work, na cha muhimu kuliko yote ni kuelmishana hapa, wewe ukiona kuna uongo unasemwa cha muhimu ni kuweka sawa ishu.
Ahsante Mkuu, Tuendelee Kumkoma Nyani!