Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Sijasusa kiongozi humu mimi silipwi kumwelimisha mtu asiyetaka kuelimishika, wewe toka lin umewah kupigania maslah ya Taifa hili????Umeanza lini hasa! Wanaotetea maslah ya taifa hili hawawezi kuwa wapo ndani ya ccm hadi leo hii kwa wizi unaofanywa na genge lenu. Wewe nahisi kama umerukia tu hii bandwagon bila kujua maana ya wimbo unaopigwa. Si kawaida yako/yenu kujitokeza kwenye mada za hiv zenye maslah kwa taifa. Na hata mkijitokeza, siku zote ninyi ni watu wa kuharibu mada na kuchafua hali ya hewa.Patriote
Kamanda usichoke tupo hapa kuelimishana; maelezo yako yanaweza kunifanya nibadili msimamo wangu kichama; hii tabia ya kususa sio nzuri tupo hapa kupigania maslahi ya taifa. Sio kila mwanaccm ni fisadi na sio kila mwanachadema ni msafi kimaadili.
Chama
Nahisi kama unataman kutoka kwenye hii mada ila unajikuta unalazimika kuwepo ili kuconfound genuine wachangiaji humu. Maana bila hivyo nadhan posho hupewi. Pamoja na ushabiki wa kichama na itikadi zetu, wen it comes to national interests hebu tuget serious kwenye contributions zetu.
Sidhan km utafukuzwa uanachama kwa kukubali mapungufu ya serikali yenu na kuishauri ipasavyo ili msonge mbele. Its not for your party benefit kutetea uoza huu. Unakiangamiza chama chako kwa kukivimbisha kichwa kuwa kinakubalika while in the actual sense, chama chenu kinadidimia na nyie ndo mnaokididimiza.
Michango yenu kwenye mada zenye maslah ya kitaifa zinawafanya hata wasio na vyama washtuke kuwajoin maana inaonesha kabisa you are there to defend upumbavu.